Sijui umetumia kigezo gani kuprove hili!! Sina hakika na ukweli au uhalisia katika hili. Kila mahali kuna mtu aliye au anaefanikiwa kwa lolote lile analofanya kwa bidii. Kama ni kukujibu basi bilashaka ni harakati,mipango,juhudi,uvumilivu na bidii zao ndio siri ya mafanikio yao.
Ndugu kwa namna yoyote how much you earn for a day depends na soko la bidhaa, margin ya wateja, hali ya hewa na hali ya uchumi pia. Fanya research hii katika eneo unaloli target the ukipata majibu ndio probably the much you can get!!
Kwa mtu wa kaliba ya nasibu abduli na kwa maisha aliyoyachagua kuishi,sidhani kama anapata hata muda wa kusali rakaa moja sembuse mbili!! Ila mungu wake anajua zaidi,tusiusemee moyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.