Hasira za nini mkuu.....?Wewe utakuwa mchagga peleka chakula cha njaa Kilimanjaro...watu wa arusha na njombe hawapendagi masifa ya kijinga wewe utakuwa mchagga tu ndo wanapendaga masifa ya ovyo ovyo ...Fanya kazi acha masifa ya kifala
Maneno ya mkosajiUsiwaamini sana hawa wakinga ktk hustling........
Ila ni aibu kwa Barrow kuapishwa nje ya nchi yake,ni aibu kubwa.
Fika k\koo utasikia mangi, sanga, MBILINYI, msigwa , kyando ndio wanaosumbua mjini au Mohammed,Sijui umetumia kigezo gani kuprove hili!! Sina hakika na ukweli au uhalisia katika hili. Kila mahali kuna mtu aliye au anaefanikiwa kwa lolote lile analofanya kwa bidii. Kama ni kukujibu basi bilashaka ni harakati,mipango,juhudi,uvumilivu na bidii zao ndio siri ya mafanikio yao.
Pia wale jamaa ni wagumu sana kutumia hela kizembe wanatoa hela kwa mipango sanaWana nidhamu ya pesa na pia walipotoka pesa haipatikan kirahisi hivyo wakipata chance wanakuwa matajir
Sawa na kwa wazunguKwasbb kuna baridi ktk mikoa hiyo