Recent content by Ipyela

  1. I

    JamiiForums Tanzania PSRS: Nitajuaje zoezi la kupangia Watu kazi limefungwa au kufaulu?

    Habari wanabodi. Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la. Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

    Nchi ni yetu sote. Kiongozi anawekwa na Wananchi Kwa kipindi Fulani baada ya hapo anweza kuja mwingine. Katiba yetu inaruhusu Uhuru wa mawazo. Pia sioni shida iko wapi tukikosoa mahali tunapoona hapako Sawa Kwa maslahi ya taifa. Shida iko wapi na sioni inamuathiri vipi kiongozi.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Ujinga ulioje. Hawa ndio aina ya mashabiki ambao wanaweza hata kujidhuru kisha timu sijui imefanyaje,wasiojua maana ya burudani. Mtu amekuja kuwasapoti mnamfanyia vurugu na kumpiga mateke kweli?
  4. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

    Kwa kosa gani? Maana kila mtu anajua kuna kizungumkuti kigumu juu ya ndugu zetu wanaopotea,kutekwa na kuuwawa. Kinachoonekana ni kama vyombo vya usalama vyote vinashindwa kuchakata na kufumbua hili fumbo.Kwani hatujaona ripoti yoyte ya maana kutoka huko kuhusiana na kinachoendelea na ufumbuzi...
  5. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokifanya Gwajima ni “Insubordination” kwa mwenyekiti wake wa chama. CCM imuite na kumhoji azungumze uhalisia

    Kinachoumiza ni matukio yanakithiri,watu wanatekwa,kuumizwa,kuuwawa na kupotea lakini lakini hatuoni reaction kwa serikali wala vyombo vya ulinzi.
  6. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

    Anaeleweka sana mzee baba. Hujaelewa kipande kipi?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak wote

    Eid Mubarak kwako na familia nzima!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

    Huyo jamaa Lyenda Yuko njema Sana, anashawishi na anajua.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Imebaki fumbo kazi za records zilizotangazwa na MDAS&LGAS

    Hawajaita bado watu wakafanye usaili kuhusiana na hilo tangazo,kwani kuna nafasi zingine za Kada tofauti nyingi pia zilizotangazwa kabla ya hilo tangazo ambazo ndio watu wanaendelea na usaili.Mfano ni nafasi za waalimu zaidi ya elfu kumi ambazo watu wanaendelea kufanya usaili. Zilitangazwa toka...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

    Hata interview nyingi za KAZI zinaendeshwa kwa kiingereza.Imekuwa kipengele Sana watu kujieleza vizuri hata kama Wanajua. Kinachotafutwa ni kumpa mtoto msingi imara.Kwangu mimi Ni Bora akasoma Kayumba secondary.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitangaza nafasi 726, walioitwa 45 (Medical officer II)

    Mimi naona ni mapema Sana kulalamika kama ulivyosema mwenyewe ni jana tu wametangaza hayo majina.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Job qualification failed: I suggest the secretariat widen the window for applicants to be able to apply for most posts

    You better communicate with the Secretariat as the reason might be not the one you mentioned. Here, I assume you read well the Job requirements. Application failed inaweza kuwa ni ishu tu ya office kukusaidia kuweka Sawa au kuongeza hiyo kozi kwenye mfumo halafu ukaweza kuapply vizuri Tu. It...
Back
Top Bottom