Kwanza katiba ni kijitabu tu ambacho hakiheshimiwi na waliopo madarakani. Kuhusu watanzania kuchukua hatua pia kuna changamoto kubwa sana.
Watu wanatekwa,wanapotezwa au kuuawa,pia wanapewa kesi za ugaidi au uhujumu uchumi kwa sababu tu wako upande kinzani.
Wewe Paschal ni mwanasheria mbona...
Kama una hela fanya diet ya protein pekee kwa mwezi mzima. Kula nyama ya ng'ombe, mbuzi,samaki,mayai.
Avocados pia sio mbaya,wali ukipikwa make sure unakaa kwenye friji masaa 24 ndiyo upashe ule.Hii inasaidia kubadilisha aina ya wanga ndani yake ili usipandishe sukari kwa speed.
Hata mihogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.