Recent content by ipy1985

  1. ipy1985

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Hivi na ninyi mnahangaikia kufikiria nani mkali kati ya zitto na slaa? Mbona jibu liko wazi hapo? au mnaangalia anayejitangazia kuwa lazima agombee? Kwanza mimi naona mtu kung'ang'ania kugombea kwa sasa sio kabisa, suala ni kusema atachukuwa fomu ya kumtafuta mgombea wa urais na sio kusema...
  2. ipy1985

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa JamiiForums

    Hongera sana mkuu, ila mshukuru Mungu wako kwa kuwapa waanzilishi wa JF na kukufanikisha kupata kazi!
  3. ipy1985

    JamiiForums Tanzania Daktari Kitila Mkumbo haya ndiyo uliyoyatabiri Uingereza au kuna Mengine Yaja.....

    sioni hata hoja ya msingi hapo jamani, ninge-comment kama ningeona comment ya Dr Mkumbo mwenyewe juu ya hili.
  4. ipy1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitongozwa nuna!

    kununa ni MANJONJO TU, kumbe anakubali kiaina, ikipita mida anaanza kujuta kuwa kwann alinuna!
  5. ipy1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    mie naona gap ni kubwa mno, 16years? unauhakika gani kuwa hana mtoto(watoto)? kama ww unaonekana utchukia akisema kuwa anawatoto, unadhani atakwambia? THINK TWICE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. ipy1985

    JamiiForums Tanzania Hongera Chadema Bungeni, hongera Kitila Mkumbo...

    Sijaona wa kuzima moto wa CDM bungeni hata kitaa............Mnajua tanzania na viongozi wake wanajua kuwa watanzania ni wasahaulifu sana juu ya hoja za msingi, wataanziasha kihoja chochote ili tu tusahau kuhusu KATIBA. Kitila Mkumbo BIG UP kaka, I real appreciate u.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. ipy1985

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya waanza mchakato wa Kumrithi Shitambala

    Huyo wa ofic moja na Shitamballa, hata kumsikia sitaki. Ni wale wale tu, hawezi kaa ofic moja na msaliti alafu wakatofautiana ki-itikadi namna hiyo!
Back
Top Bottom