Recent content by ipwisi

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaharia peke yake naomba mnipatie ushauri kuhusu huu mchepuko wangu

    Acha hizo wewe, baki njia kuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya maana ya familia

    Waefeso 5:22 hadi 25 22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. 23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. 24 Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. 25 Enyi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya wavaaji wa miwani za macho na tabia ya ustaharabu na akili nyingi kichwani?

    Ukiona wako hivyo ujue wamepiga kitabu sana mpaka macho yakapata shida ya kuona vizuri!
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Pole sana dada! Kama bado unampenda mme wako na bado unatamani kuendelea kuwa naye sehemu sahihi ya kuanzia kutatua changamoto hii ni kujua chanzo chake. Kwa kawaida kila jambo lina chanzo chake. Jitahidi kujua ni kwa nini mumeo amekuwa hivyo maana unajua vizuri alivyokuwa mwanzo. Ukishajua kwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wagogo wanaonekana ndio omba omba wakubwa nchini?

    Ukiona Wabrazil wanasifika kwa kucheza mpira wa miguu haimanishi mataifa mengine hawachezi mpira ili hao wanaosifiwa sana wana kitu special.
  6. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Samahani, nimeuliza swali toka jana mbona sijibiwi?
  7. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante kwa kutuelimisha kuhusu masuala kadhaa kuhusiana na huduma mbalimbali za Tanesco. Naomba kujua vigezo ambavyo Tanesco wanatumia katika kumweka mteja kwenye Tarrif (T1) au D(1) kama sijakosea. Je natakiwa kufuata taratibu zipi endapo nimewekwa kwenye Tariff ambayo siyo sawa? Naomba...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanafunzi kama huyu kazi ipo

    Job true true!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kwa soko la Temeke gunia la vitunguu bei gani?

    Vitunguu gani mtoa mada?
  10. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante kwa ufafanuzi wa masuala kadhaa. Mojawapo ya vitu ambavyo watu wa benki mbalimbali wanahitaji kama utambulisho wa makazi unapotaka kufungua akaunti ni bili ya malipo ya umeme. Naomba kujua kama bado mnazitoa na ninawezaje kuipata. Asante kwa ushirikiano!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mama Janet Magufuli wamchangia msanii Wastara Sh. Millioni 15

    Shilawaduuuuuuuuuuuu!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mna tatizo gani mnapokuwa kwenye biashara?

    Angalia nzi wasije kuharibia siku, ha ha haaaa!
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

    Samahani ndugu, ukimwambia jina la Mama yako mzazi ndo inakuwaje? Ufafanuzi tafadhari!
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Gakome Komesha - Mlowo primary school
Back
Top Bottom