Lastly, cyo kila kitu lazma uchangie vngine unaacha vipite, haswa ukjiona uwezo wako wa tekno k7, kuliko kusema tukagundua uwezo wako. Kama asemavyo msomi Nguli Carl Marx...” ukitaka kujua akili ya mtu mwambie aandike au azungumze” sasa hoja ya msingi ni iphone kuuzwa ww oooh mbn kuna Attendance...