Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Poleni sana kwa kusumbuliwa na Stress za kuachwa na Mabwana zenu ww na huyo Shoga mwenzio. Ila hizo Stress zenu pelekeni hukohuko kwenu sio ku Quote msg za watu waliomsifia Nancy Sumary na kuanza malumbano. Kosa langu nn hapo kumsifia Nancy kwamba ana tabia nzr ndo iwe ugomvi, UKOME kuni QUOTE. Sina muda wa kuzozana na Mashoga. Case Closed
Sawa. Nisamehe nilipokukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada yako ni nzuri sana na ina mafunzo mengi. Kuna wengi yamewapata makubwa kwa sababu ya kutokuwa na ubongo wa kuona mbali kama huyo mwana dada unayemzungumzia. Hmna kiti kibaya na cha hovyo kama mwanamke kujirahisisha kwa wanaume just kwa kuangalia umaarufu walio nayo bila kuangalia future yao.
Alitumia akili na sio moyo
 
Ndio maana mnashauriwa tafuteni pesa sio mapenzi. Kwanza kila mtu utamu anao mwenyewe. Kama unabisha jaribu na sabuni uone.
 
Those day MB Dogg ametoa Latifa imenibamba vilivyo ilikuwa inaniburudisha dhidi ya machungu ya kutompata demu mmoja mkali sana pale sekondari ya Benjamin Mkapa Mitaa ya Uhuru kariakoo mtoto alikuwa anaitwa IRENE KIDUNDA sijui yuko wapi yule mtoto alikuwa white ,slim mwendo wa madaha ,very clean and Neath jamaani

Irene sijui yuko wapi nimemiss sana hahahahah

Irene yupo CRDB Bank branch ya Mikocheni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom