🎓 Vyuo Vikuu Tanzania vinavyotoa PhD
University of Dar es Salaam
University of Dodoma
Sokoine University of Agriculture
Mzumbe University
Open University of Tanzania
Nelson Mandela African Institution of Science and Technology
Mbeya University of Science and Technology
Moshi Co-operative...
ikiwa wametukuta tunaishi mporini wakatupa haya
wakatupa namna ya kuvaa nguo
wakatupa namna kujitibu madawa tunawategemea wao
mawasiliano ni yao wkatuletea
mfumo wa elimu wakatupa ndio tunatumia mpaka leo
wakatupa na uzazi wa mpango wakaleta mpaka dini
mpaka na majina wametupa saizi...
Ingekuwa Jf Kuna sehemu wanaweka kiwango Cha elimu ili unapojenga hoja tujue ni mtu wa namna Gani
Ilikuwa rahisi mtu kujua kama wazazi walipeleka ngombe Shuleni au walipeleka mtu kusoma
Kwamba uko mzumbe unasoma masters full time huku koziwork unatakiwa kupresent kule udsm kesho yake Kuna seminar room unatakiwa
Muuliza swali ameuliza swali arudi kwanza ajitafakari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.