Recent content by Ipekede

  1. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

    So soon?!!!!!!!! [emoji15][emoji15]
  2. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo

    Kwa kufanya kazi na mmoja wao na kusoma na mwingine, ndiyo kunawapa ubunge? Very interesting!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wazazi wa watoto shule za binafsi lazima walipe ada yote

    Wapo wenye shule wanaodai pamoja na hizo za chakula na usafiri kwa kipindi hicho.
  4. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Poleni kwa kazi. Mimi ni mkazi wa jiji la Mwanza, Wilaya ya Ilemela, mtaa wa Majengo Mapya - Kiloleli 'A'. Hapa Kuna tatazo la kukatika-katika kwa umeme hasa nyakati za jioni kwa baadhi ya nyumba, yangu ikiwa mojawapo. Tukiripotil, mafundi wenu wanafika kurekebisha lakini tatizo hili halipati...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Corona inavyotugawa watanzania tukemee hili

    Tena zaidi ya vyama, na wengine tena wanatamka waziwazi hadharani wakisingizia utani! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuomba Waziri Dkt. Kigwangalla kuachana na mitandao!

    Birds of a feather flock together! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

    "Mgombea safi"! Majimbo mengine wanagombea wachafu? Ambao hawakutajwa hapo wachafu? Maana yamekuwa yanatajwa majina mengi? Umeeleweka lakini! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwanza eneo la Kiloleli bado hakuna moto (Saa 3.40 usiku). Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kuna nini? Mwanza tangia mchana hakuna umeme hadi muda huu saa 2.40 usiku, na hakuna taarifa yoyote! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Wengi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

    Wee Luvanda, mbona umeamua kujidhalilisha hivi? Ungekuwa na busara kidogo tu, ungekaa kimya, kuliko haya uliyoandika! Pole sana. Jaribu mbinu nyingine hapa 'mmebugi'! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Meya Mstaafu Arusha achambua kauli ya Dkt. Bashiru, alia na wachochezi

    Hivi hawa bongo zao zilikuwa zinakaa kwenye ile 'mikia' waliyokatwa? Halafu wanawafundisha nini watoto wao (kama wanao)? Ndiyo sababu kuna mdada mmoja aliseme kuwa idadi ya 'wanaume' inapungua kwa spidi ya kuogofya Tz! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

    Ukweli tu usemwe. Mwanza inatisha kwa uchafu, barabara hazipitiki, machinga wamejaza bidhaa zao kila mahali. Mjini kati hakuna parking, soko hakuna, stendi ya mabasi hakuna.......orodha ni ndefu mno! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini jana waumini walilazimishwa kuimba wimbo wa Taifa Makanisani?

    Mwanza pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Katiba, katiba, katiba. Bila ridhaa ya chama, hakuna mgombea. Wahini kufanya mabadiliko husika kabla ya uteuzi! Ccm walinang'ania hili sasa linawatafuna! Pole sana mhe. Waziri huna pa kutokea.
Back
Top Bottom