Recent content by inyogote2

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Geah Habibu umepata wapi kiburi cha kumkashifu mtumishi wa Mungu?

    Ww ndo ujui kbs kuhusu biblia kama ni mkristo basi rudi kwenye vyuo vya biblia ili ujue biblia inasema nini kuhusu hao manabii unao wapenda ww pia nataka uniletee kifungu cha biblia kinacho mpa mmalak mwanamke kufanya huduma kama hiyo kabla ya kukosoa soma maandiko kwanza kuhusu wanawake na unabii
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Naomba unitafute pm ila sitaki hata senti yako kikubwa ni kuomba Mungu ili tufanikishe jambo hilo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hatuna ugomvi ila kaniambia nisimtafute hadi atakapo nitafutayeye

    Huyo demu wako ni mwenyeji wa mkoa gani na wew ni mwenyeji wa mkoa gani
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

    Naomba ww ndo unipm mimi ili tuongee zaidi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

    Mm niko tayari ila wewe ndo ni pm mimi ila ukisha ni pm niko huwe tayari kupima mengine tutaongea pm
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ana watoto wawili nje

    Ushauri wangu huyo mwanamke akufai achana naye maana unako elekea utajuata zaidi ya hili ulilo jionea bila kutarajia
  7. I

    JamiiForums Tanzania Makundi hatarishi kwa Uhai wa CHADEMA

    Hata huko kwenye nchi zilizoendelea uchaguzi ukiisha vyama vyote vinatulia vinasubilia uchaguzi ujao siyo kila mda ni siasa tu kipindi cha jk walipewa hiyo ruhusa je walifanya nini
  8. I

    JamiiForums Tanzania Balozi Chokala aeleza walivyomsafirisha Dk. Shika kijajusi

    Maelezo ya balozi wetu
Back
Top Bottom