Balozi Chokala aeleza walivyomsafirisha Dk. Shika kijajusi

Yaani mwandishi hapo ndio keshamaliza habari? Mbona ameacha maswali mengi?
Bado Balozi ameamua kuficha ukweli na ku base katika stori aliyoitoa Dr Shika ya kutekwa na wahuni.
 
hahahahhahaha

kasikilize hapa bana..kuanzia dakika ya 12

na wabongo wakienda kuuliza ofisi za UN wakaambiwa hakuna kitu kama hicho hawataamini

wataendelea kuamini udaku...hahahahahaha

dah.Aisee nchi hii kuna tatizo kubwa sana kwenye thinking capacity

Jinsi anavyotaja kampuni yake kuwa ni ya kutengeneza Chemicals ukimsoma uso unajua ni ndoto;waandishi wa ukweli wangemwambia ataje majina ya bidhaa za hiyo Kampuni yake (Brand names)ndio tungejua mbichi na mbivu
 
Ni watanzania wangapi ughaibuni wamepewa umuhimu kama huu wa Dr?
Swali kuntu! Wenye uweledi watatambua kuwa kuna kitu zaidi ya maelezo aliyoyatoa balozi, huyu Dr anahitaji mahojiano zaidi ya namna mambosasa alivyoreport issue ya huyu jamaa
 
Na wewe mtoa mada ebu fafanua uko kwenye mwelekeo upi unauliza swali au unafafanulia swali,, ebu toa neno nadhani, ili lituweke huru kwenye kutadhimini
 
Wabongo huwaelezi kitu washapata story ya kupunguza ukali wa maisha.
Yani watairemba na watafungua thread hata mia.
Kila anayelala akapata idea anaifungulia thread
Wabongo wamepata super hero wao dr shika
Eti ni CIA anakimbia KGB?ha ha ha wakati hata hela ya kula majirani wanasema shida!au ni undercover mission?The bold ametuharibu sana na ma Mossad wake
 
hahahahhahaha

kasikilize hapa bana..kuanzia dakika ya 12

na wabongo wakienda kuuliza ofisi za UN wakaambiwa hakuna kitu kama hicho hawataamini

wataendelea kuamini udaku...hahahahahaha

dah.Aisee nchi hii kuna tatizo kubwa sana kwenye thinking capacity

Acha dharau ,wee mwenyew unaeendelea kujifanya kutoa mawaidha hapa ya same shitty thing level yako pia ni hyo hyo ya hao wa tz wenye capacity hafif,ungekua wa maana saana ungekaa kimya na kutazama,una waste time kutuelezea akat sis hii ishu tuna enjoy maisha yaende,hata kama ni fix,.dont u see how the wave has united people so far..tumesahau siasa n we r back to normal
 
Eti ni CIA anakimbia KGB?ha ha ha wakati hata hela ya kula majirani wanasema shida!au ni undercover mission?The bold ametuharibu sana na ma Mossad wake
Watu wanaangalia sana movies na series then wanaleta katika really life halafu wanajikuta wachambuzi hatari
 
Sasa. Kama balozi anasema HAFAHAMU CHOCHOTE KUHUSU KAMPUNI YA DOKTA.
atasemaje DK alikuwa anajigamba kwamba Ana hela. Lakini HANA.
Amesema sababu ya kutekwa ni hiyo yaani alitekwa kwa U pedeshee kujionyesha ni tajiri ila aliposema hana hela akateswa na akaachiwa baada ya kumuona hana kitu wala hakutoroka
 
anasema mwaka 2014 alipata barua ya uteuzi ya UN Kuwa balozi UNHCR

Miezi miwili iliyopita amepata promotion ya Kuwa Balozi UNHCR ku cover the whole world

Hajaenda officially ku report

Anatakiwa kulipa OIECD ili akabidhiwe kazi ....hahahahahha

elmagnifico kuna jamaa wanasema Dr Shika ni mkweli kabisa

hahahahha.Watanzania vilaza kinoma..alafu wanapenda umbea...na ni akili ndogo sana..ndio maana Babu wa Loliondo aliwashika

The Guy is sick..he needs help
Wewe hapo inaweza kuprove vipi kuwa ni ukweli au uongo
 
Na wewe mtoa mada ebu fafanua uko kwenye mwelekeo upi unauliza swali au unafafanulia swali,, ebu toa neno nadhani, ili lituweke huru kwenye kutadhimini
Mkuu mimi niko kwenye ku-synthesize maelezo ya Dr. Shika na Chokala, na nikaona yale ya Chokala yana upungufu mno, zaidi sana ya yale ya Dr. Shika. Dr. Shika anatoa maelezo kwa namna ya kutoweka wazi mambo fulani (intentional omission of some facts) wakati Chokala anatoa maelezo kwa kudanganya mambo fulani (intentional distortion of most of the facts). Mbona nimeeleza hilo wazi?
 
Sijamdharau ila sisi wabongo especially wa Jf tunaangalia sana movie na kumsoma sana The bold na Pascal kiasi cha ku exaggerate hata kitu kilicho wazi kabisa!Jasusi anayekimbia KGB awe anaonekana Dar es salaam na kuonana na watu waliosoma naye;CIA anayekimbia KGB ashindwe hata kulipa 50k ya rent kwa mwezi na chakula wakati anajificha?angekua CIA anajificha angekua analetewa basic needs zote
Wew sasa ndo unaaeangalia sana movie,...alitelekezwa osama bin laden sembuse shika,...nenda kwenye nchi kama somalia,afghanistan,chechnia huko,ukraine,watu kama hawa wapo weeeng,wanaeza kua goverment assets na wakatelekezwa vilevile kwa sabab maalum.
 
Swali kuntu! Wenye uweledi watatambua kuwa kuna kitu zaidi ya maelezo aliyoyatoa balozi, huyu Dr anahitaji mahojiano zaidi ya namna mambosasa alivyoreport issue ya huyu jamaa
Aligharamiwa na Serikali na alipelekwa Russia na Serikali naalikua mwajiriwa wa Wizara ya Afya!Unastaajabu Ubalozi kutumia nguvu kuliko ingekua mbeba box kwa mtu wa aina hiyo?kweli mmeamua kuwa mnachoamini kiwe kweli
 
Wew sasa ndo unaaeangalia sana movie,...alitelekezwa osama bin laden sembuse shika,...nenda kwenye nchi kama somalia,afghanistan,chechnia huko,ukraine,watu kama hawa wapo weeeng,wanaeza kua goverment assets na wakatelekezwa vilevile kwa sabab maalum.
Ha ha huyu Dr atazalisha watu wanao hallucinate wengi sana
 
Acha dharau ,wee mwenyew unaeendelea kujifanya kutoa mawaidha hapa ya same shitty thing level yako pia ni hyo hyo ya hao wa tz wenye capacity hafif,ungekua wa maana saana ungekaa kimya na kutazama,una waste time kutuelezea akat sis hii ishu tuna enjoy maisha yaende,hata kama ni fix,.dont u see how the wave has united people so far..tumesahau siasa n we r back to normal
Normal!believing in a retard!!
 
Back
Top Bottom