Recent content by Investor 1

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hisa zipi nzuri kati ya NMB na CRDB?

    Elimu ya Hisa ni Pana, nakushauri tafuta magroup ya what's up yanayotoa elimu ya uwekezaji.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, unatumia njia gani kuweka akiba ya kipato chako?

    Natumia Liquid Fund
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

    Ok, Bond haziishi. mnada hufashika Kila siku ya jumatano. Kuna ratiba ya mwaka mzima ukifungua website ya BOT utaiona. Kwa Mfano wiki hii kulikuwa na mnada wa Hatifungani za muda mfupi Treasury Bills wiki ijayo kutakuwa na mnada wa Hatifungani za muda mrefu Treasury Bonds. Hizi Bond zinapouzwa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

    Weka UTT liquid fund, zikiongezeka unatoa unanunua Bond, hapo unasubiri pale ambapo zinauzwa kwa discount
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

    Inategemea, kipindi ambacho mazingira ya uwekezaji au biashara yamekuwa magumu watu hununua bond, hii hufanyika ili kuepuka kupoteza mtaji. Pia wengi hununua Bond za serikali pale ambapo inakuwa vigumu kufanya biashara kwa sababu mbalimbali kama vile kukosa muda wa kusimamia biashara. Wengine...
  6. I

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Ndugu Thabit ukiwekeza 10 millions kwa mwaka inaweza kuongezeka 14% ambapo itakuwa 1.4 million kwa hiyo ukijumlisha na mtaji itakuwa 11.4 millions. Kama unachukua gawio ukuakji wa thamani ya vipande utakuwa hafifu. Gawio unalopewa ni sahemu ya faida unayoipata
  7. I

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Inabidi uingizwe kwenye mpango wa Gawio Kila mwezi au kwa mwaka mara mbili kama huhitaji magawio Yako yataendelea kununua vipande vingine automatically
  8. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

    Treasury Bonds ni nzuri hasa ya 25 yrs ambayo rates zake ni 12.56% kwa mwaka. Unapokea Coupon mara mbili kwa mwaka. Utaratibu ni lazima ufungue CDS account BOT ambapo Broker atashughulika na jambo Hilo.Ukinunua Bond Mfano ya 25yrs utalipwa 12.56% Kila mwaka kwa miaka 25 then itamature na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu chochote

    Ingia YouTube tafuta Let's talk finance
  10. I

    JamiiForums Tanzania Benki zipi wanakubali dhamana ya hati ya nyumba kwa ajili ya mkopo?

    Siku hizi watu wanachukua mikopo mabenki makubwa kwa paper asserts
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    Hivyo vyuo vitoe Advanced Diploma kama ilivyokuwa awali
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    Chuo Kikuu Cha Archi ilikuwa chini ya UDSM
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    Ana hoja ya msingi sana
Back
Top Bottom