Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri...
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
Ni kweli aisee kama mtu umekulia kwenye mikono ya wazazi wote wawili Tena ndo Kama una wadogo zako,Kaka au dada zako Ile furaha ambavyo inatawala nyumbani Yale mapenzi kutoka kwenye familia yenu huwezi ukaacha kuoa Yani kunakuaga na hisia tofauti aisee kama mtu umepata mapenzi yote kutoka...
Sasaiv mtu wa karibu ndo anaemlawiti mtoto na vitisho vingi kama ingewezekana kampeni za kupinga hili suala ziendeshwe hasa mashuleni coz mtu ambae unategemea awe mlinzi wa mtoto yeye ndo anakua Jangili inaumiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.