Kuna polisi mmoja tulikuwa tunakutana kwenye bar fulani kuangalia hii mipira yetu ya bongo(Simba na Yanga).Jamaa yeye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga.Huwa wakishinda hanipi nafasi ya kupumua ni utani mwanzo mwisho nami nakuwa mpole kama ilivyo desturi ya utani wa jadi.Basi bwana Mungu sio mzee...
Aaanzishe yake kwa ilani ipi?Amechaguliwa lini?Yeye anamalizia pale alipopokea kijiti.Tuanze kumfanyia tathimini kama wewe unavyotaka kuanzia 2025 akishaingia Chamwino rasmi.Ila kwa sasa mwacheni amalizie.
Nawaza na kufikiri majibu sipati\moyo unanchosha akili kwa mapenzi ya kufosii.kupenda pasipo dhamani kwangu taabani si sawa.Ni bora unipe moyo wangu niufichee. KIBA ALIIMBA SANA HUMU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.