Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Nawaza na kufikiri majibu sipati\moyo unanchosha akili kwa mapenzi ya kufosii.kupenda pasipo dhamani kwangu taabani si sawa.Ni bora unipe moyo wangu niufichee. KIBA ALIIMBA SANA HUMU.
 
Three little Birds by Bob Marley! Naamini baada ya miaka kadhaa hivi mambo yatakuja kuwa sawa na haya ya sasa yatakuwa yameondoka !

Time will Tell!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom