Recent content by Intersection

  1. Intersection

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnaficha nini mimi nipo Arusha muda huu maeneo ya Sakin hakuna umeme n imekuwa kama kautaratibu kila siku mnakata Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Intersection

    JamiiForums Tanzania Mwacheni dada wa watu!

    Chemba ishazibuliwa hio Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Intersection

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to host Sh8 billion Africa Disease Control Centre

    To be honest kenya has taken a very forwad step concern this pandemic outbreak very early. Preparedness from the counties to national level was really excited, President himself is on the first line to adress how to tackle this outbreak I'm commended for his effort and they real deserve to have...
  4. Intersection

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba hii nyimbo

    Thank you wàkuu
  5. Intersection

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba hii nyimbo

    Amenikabidhi sumu mke uku mnaona alopewa aniheshimu riziki yake ni pana kuipana kwake ni vigumu mtahangaika sana
  6. Intersection

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

    Ndio mkuu niko familar nazo kiasi
  7. Intersection

    JamiiForums Tanzania Suala la nzige sio suala la kupuuzwa kabisa. Nchi itakumbwa na njaa na mfumuko mara dufu

    Nilikuwa nacheki Aljazera asubuhi duh hali ni hatari kwa nchi kama pakistan na uganda pia wameanza na Pakistan wame declare kabisa kama national emergency kwa ajili ya hao tu locusts
  8. Intersection

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

    Baiskeli ninaweza mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Intersection

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua hili katika umeme wa solar

    Habari mkuu ningependa kujua haya kabla sijakupa size ya panel unayopaswa kuwa nayo kwanza tuambie batteries zako ni AH ngapi kama bado hujanunua batteries na unataka nikufanyie sizing basi niambie Laods zako ni zipi utazotumia ikiwa interms of wattage would probably more better. Batteries zipo...
  10. Intersection

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado sijapata mtu wa kuni sponsor Nisomee Driving

    Mkuu shida hizi hazina mwenyewe
  11. Intersection

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado sijapata mtu wa kuni sponsor Nisomee Driving

    Wakuu salama humu nilifungua uzi wa kuomba mtu walau wa kunidhamini nisomee driving nitamlipa gharama zake baadae. Mimi ni mhitimu wa ngazi ya diploma katika fani ya engineering kama mjuavyo fani hizi zinahitaji mtu walau uwe na driving licence na cheti cha udereva ili kucompete na wenzio...
  12. Intersection

    JamiiForums Tanzania Tujuzane changamoto za Google Map Driving na namna ya kuzitatua

    Kwanza ili uenjoy Google map hakikisha una simu yenye GPS accurate mimi nimtumiaji wa Navigation app sana kufika maeneo tofauti tena kwa coordinates tu nilicho observe ktk simu mbili tofauti ni kuwa uimara wa Built in GPS ya simu ndio uta kunavigate poa sana
Back
Top Bottom