Recent content by instanbul

  1. instanbul

    JamiiForums Tanzania TAA yatangaza viwango vipya vya maegesho ya magari, viwanja vya ndege na faini zake kufika hadi Laki moja

    Na Bado airport ya Dar, mwendokasi zitaingia ndani kabisa. Wale tax wajipang
  2. instanbul

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Tutaona Wakati wa uapisho
  3. instanbul

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

    Think beyond. Huyo mama anaanguka trust me. Hata wakina Rostam, watamkacha. Mauaji yatakuwa makubwa. Wakijifanya kichwa ngumu. NB. Simbachawene hawezi kuteuliwa na huyu mama Tena. Huyu mama akitema ametema. Muandishi ni yeye mwenyew
  4. instanbul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Walimchagua? Ulikuwepo Tz Wakati wa uchaguzi. Yeye mwenyew anajua kuwa hakuchaguliwa
  5. instanbul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kasitaafu siasa
  6. instanbul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Muda wake utafika tu. Kwanza kwa sasa legacy yake ishakufa na ni chafu. Ataondoka kwa aibu
  7. instanbul

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Ni kweli niliona post mahali.
  8. instanbul

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Kwan anatumia uchawi gan yeye na kikwete kushinda kila pambano. Au ni watu special kwa Mungu wetu. Tanzania unazidi kujifia aisee
  9. instanbul

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Wew jamaa inakuwaga na info ..hata Samia naye anajiuzulu ama?
  10. instanbul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Wagombane tu. Mpaka tufike 2030
  11. instanbul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Watajua wenyew
  12. instanbul

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Wew ni bwege tu. Kuita mwanaume Dada. Nakuignore. Na mtahamia Magufuli mtake mistake Mbona SGR mnaifata posta Wakati mnaelekea Morogoro kwa 13k. Na kituo kifuatacho ni bajaji. Bajaji zitapigwa marufuku mjini. Mark my words
  13. instanbul

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Hakuna inategemea. Mabus Yao mengi yanaanzia park station. Naongea hivyo kama Mtu niliyeishi Capetown. Hata Joberg. Mabus Yao mengi yanaanzia au lazima yapite park station.
Back
Top Bottom