Amani iwe nanyi, kuna upotoshaji kwamba mwalimu alifanya makosa na hakutuanda kuwa taifa.
Kauli km hizi na nyingine nyingi za kumlaumu ni za kipuuzi kwani mwalimu alituandalia mipango ya kujitegemea, utamaduni mzuri, mpaka azimio LA arusha.
Waliokuja kutuhujumu ni ccm chini ya mkapa, hawa ndo...