tabula sio lasa
Member
- Dec 18, 2017
- 19
- 7
- Thread starter
- #21
Kama ni different kwann kundi KUBWA linawaza negative kila kukicha hata positive bado tunaziweka positivePeople are not alike
And we are here with different tasks...
Think about it
Kama ni different kwann kundi KUBWA linawaza negative kila kukicha hata positive bado tunaziweka positivePeople are not alike
And we are here with different tasks...
Think about it
Kwa bashite labda kwa takwimu za mpango tokaWatanzania wapumbavu wachache hawajui thamani ya kitu hadi kitakapopotea lakini tulio wengi tunathamini na kuunga mkono juhudi za mh Rais katika kutupeleka katika uchumi wa kati
Wewe ndio pumbavu kabisa. Eti na wewe uko chuo kikuu!!!! Elimu yako haijakusaidia na haitokusaidia kamwe.Watanzania wapumbavu wachache hawajui thamani ya kitu hadi kitakapopotea lakini tulio wengi tunathamini na kuunga mkono juhudi za mh Rais katika kutupeleka katika uchumi wa kati
Kafulila a.k.a Tumbili alisifiwa na Mtukufu hazikupita siku akahama na kuhama kwenda kula ktk meza ya bwana. Wewe nawe toka ule mkutano ulipouliza swali na mtukufu akafafanua jina lako kwa kabila lenu basi ushakuwa mtu wa kuangalia utoke vipi maana unahisi swali lile ni kama lilifungua fursa ila ujue shida ni kwamba wenye ndoto kama zako mko wengi itachukua muda kukufikia riziki!Mkuu Tabula, you are right, this is becoming too much!.
Niliwahi kushauri humu
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!.
2017 JF Tubadilike, Tupunguze Kuwa "Barking Dogs, Seldom Bite", Tusiishie Kubweka Tuu, Tung'ate!.
Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360
Rais Magufuli na serikali yake wakosolewe kwa hoja sio kwa viroja - Jicho letu, Star TV
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Na ili kuthibitisha kuwa Magufuli anakubalika sana, sisi wengine tumeshauri humu, kwa 2020, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais, Magufuli aendelee tuu hadi 2025
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
Ukiona hivyo ujue wanaokosolewa wamezidi kukosea..!Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
hebu taja hiyo positive moja nikukosoe na weweKama ni different kwann kundi KUBWA linawaza negative kila kukicha hata positive bado tunaziweka positive
Bora hata ww unaniambia jambo la maanaWalisema hawatamuunga mkono. Rais wao ni lowasa. Najaribu kukumbusha tu. Hawamtambui sasa ww unachowashangaa nini pengine? Hiyo ni kauli ya vijana wa bavicha
Huo ukweli lakin mambo hayo hayapo vichwan mwa watanzania kama ingekuwa tunawaza uongozi sio degree hadi muda huu mjadala wa bashite usingekuwepo lakin kwakuwa ndo kweny mwanya acha watu waongee yasio ya msingi et tuachie nchi yetu we nani mtu unaebet uachiwe nchiHatuchagui malaika,lakini tungependa yule tuliemuandika kazi baada ya kumpigia kura,kutosahau kuwa ni mtumishi wa wote bila ubaguzi.
Pia tungependa kumkubusha kuwa kutawala watu hakuhitaji degree ya chuoni bali hekima na utashi.

Je nikweli wamezid kukosea hali ya uchumi dunian kote ni mbaya sasa watu wanataka tuishi kama tupo japani haiwezekani hata kama tuliahidiwa tukumbuke kuku hawezi kupata vingaranga bila kutaga na kutotoaUkiona hivyo ujue wanaokosolewa wamezidi kukosea..!
Elimu burehebu taja hiyo positive moja nikukosoe na wewe
Tatizo watu wanakosa uvumilivu hata baba unapomkosoa Fanya kumkosoa bila kuutoa ubaba wakeTatizo sio kuwa tunasema yeye sio binadamu na hatakiwi kuwa na madhaifu......tatzo ni kwamba akiambiwa madhaifu au mapungufu au hata kukumbushwa inapoonekana hajaenda sawa anachukia na hataki.....thats the problem mister.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Mungu anakosolewa na kitukanwa, wakati mwingine na walevi mbona hawachapi viboko badala take huwajaalia ridhiki walevi haya wapate kuishi na kesho. Mkuu pia uongozi huanza na familia mbona baba nyumbani akikosea hukodolewa? Tena wakati mwingine na kitoto kudogoTangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza