Recent content by insane

  1. insane

    JamiiForums Tanzania Point of no return

    Ilikuwa ni siku ya graduation kumaliza kidato cha nne siku hiyo mvua ilikuwa na inanyesha vibaya mno wenye wapenzi wao walikuwa wamekumbatiana huko bwaloni huku mziki ukigonga watu hawaelewi, sisi tusiokuwa na wapenzi na hatuna vaibu ya mziki tumetulia tu mahali baridi inatupiga. Lakini...
  2. insane

    JamiiForums Tanzania Kuondoa serikali iliyopo madarakani ni ngumu

    Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine...
  3. insane

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Bado sana. Dola ya roma ya juzi juzi ndio ilikuwa jamii yake
  4. insane

    JamiiForums Tanzania Kyaruzi: Hii inayokuja ni Super El Nino haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500

    Sijui mtayaweka wapi haya mabadiko yenu isipokuwa hivyo
  5. insane

    JamiiForums Tanzania sikuomba kuzaliwa, kwanini nihukumiwe na moto wa milele

    Mala ooh FB nilishaifuta miaka mingi iliyopita. Anyway tenda mema kwa kuuza mali zako zote uwapatie masikini... vipi kama ukikuta haya niya kweli. Vipi ukienda mbinguni ukaambiwa freemason ilikuwapo kwajili ya kusaidia masikini Yaani havieleweki wewe ishi tu vile roho yako inasema
  6. insane

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwisho wa dunia

    Pia watakuwepo viumbe wengine watakaoendana na hali hiyo either wewe mwenyewe ubadilike ili kuendana nayo. Kwanza Uwepo wa dunia haukuhitaji wewe ili uwepo. Soma elewa kabla ya kucoment
  7. insane

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwisho wa dunia

    Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell). Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira...
  8. insane

    JamiiForums Tanzania Katika mabaliko ya katiba tusisahau hili

    Katika mabadiliko ya katiba tusisahau kuhakikisha kila halmashauri inajetegemea yenyewe hasa katika mapato yake inayokusanya yenyewe. Hii itasaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja. Badala ya kukusanya na kusipeleka serikalini kisha baadae kwenda...
  9. insane

    JamiiForums Tanzania Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

    Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
  10. insane

    JamiiForums Tanzania Tulikubaliana hii serikali hatuitambui kwanza sio halali kinachotokea hapa jukwaani ni usaliti

    Mtu yeyote kama anaweza control majeshi huyo ndiye rais. Ile kula ni makaratasi tu
  11. insane

    JamiiForums Tanzania Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

    Macho ndio yanaona na si mapicha picha kutoka ubongo ....ili kujua hilo washa taa kwa macho yako au kwenye chumba kilichokuwa giza kiujumla ....kipofu hata hilo giza halioni ni kama kujaribu kuona giza kwa kutumia kichogo. Ni kwamba hamna kabisa unachokiona
  12. insane

    JamiiForums Tanzania Siku ya 1: Ulimwengu wa raha 😋: Naomba uniwekee yote ………….

    Sawa hatukupangii lakini huo ni ujinga kuwaza ujinga ujinga mda wote
  13. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Hii ni karatasi niliyompatia skola
  14. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Basi asubuh yake natembea mdodomdogo naenda job niko so excited kwamba jioni nakutana na skola tena, sio kukutana tu kiufupi naenda kumla ila sikumwambia direct kwamba tunakutana ili iwaje. Basi najua mwenyewe alijiongeza kichwani how exactly would be. Basi Naimagine tu nitavyojilia mema ya...
  15. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Basi nilichokitegemea kweli ndio kikawa skola ananipenda basi akawa ananiambia aende nyumbani nikamwachia ila nilitamani niendelee kumkumbatia alikuwa anavutia sana yeye ni mfupi kwangu basi nilivyokuwa nimemkumbatia alikuwa kalalia kifuani kwangu huku tukiwa tumesimama barabarani, giza hapo...
Back
Top Bottom