Recent content by innocent drogba

  1. innocent drogba

    Hawa ndio wafanyabiashara wakubwa wa sukari nchini

    Mnapenda vya bure . kusema tu mtapewa mshaanza kuulizia kama yenu
  2. innocent drogba

    Manchester City kutinga fainali leo

    Hahaha we unataka watu waliwe huna huruma kabisa ivi inaingia akilini kweli city amtoe Madrid ?
  3. innocent drogba

    Bingwa ni Real madrid au Man city

    Acha ndoto za mchana hujui hata kubashiri
  4. innocent drogba

    Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

    It's better if u tell him the truth so that u can be free dear sister . he is ur husband and ur one body so u need to be transparent to him
  5. innocent drogba

    Je, nitumie uungwana au na mimi nilipize kisasi?

    Acha kutufanya sisi wajinga kuchepuka ufanye wewe ushauri tukupe sisi . we mfwate mchepukp wako muendelee na mahusiano
  6. innocent drogba

    The English of President Magufuli of Tanzania

    We unajivunia kingereza na kiswahili , yeye Si chini ya lugha 5 anaziongea na kueleweka nani bora hapo sasa .fikiri kabla ya kunena
  7. innocent drogba

    Natafuta rafiki mwaminifu

    So rafiki wa kike ni kwaajili ya pesa tuu au
  8. innocent drogba

    Natafuta rafiki mwaminifu

    Si wote ata samaki mmoja akioza Si wote wameozaa kuna wazima
  9. innocent drogba

    Natafuta rafiki mwaminifu

    If possible later
  10. innocent drogba

    Natafuta rafiki mwaminifu

    Mi ni kijana wa miaka 22, natafuta msichana anayejielewa na mkristu mcha Mungu ani pm.
  11. innocent drogba

    Wassira afichua kilichomkera mpaka kufikia hatua ya kutaka kumpiga mpiga picha

    So kupigwa picha nyingi ndio amaindi sasa angekua raisi wa tz angekataa kupigwa picha au asira zake
  12. innocent drogba

    Michepuko yang'ang'aniana

    Na huyo dogo Julia anaangalia nini ?watoto wa digital bwana
Back
Top Bottom