Recent content by inno89

  1. inno89

    Nahitaji Maharage ya njano mengi

    Sorry embu nitumie sms kwenye hii namba 0765596933 ili niipate namba yako, next week nakuja hapo moshi nataka nije ofisini kwako tufanye kazi
  2. inno89

    Nahitaji Maharage ya njano mengi

    Kama upo serious tufanye biashara , nicheck kwenye hii namba 0765596933
  3. inno89

    Nahitaji Maharage ya njano mengi

    Arusha naweza kupataje?
  4. inno89

    Ipo haja ya Kuunda independent police commission

    Unachosema ni kweli, but ni ngumu sana kwa serikali kuweka commission kama hiyo, maana serikali iliyopo madarakani ili kuweza kutetea maslahi yake hutumia jeshi kudefend rulling party interest ,so kuwa na independent commission yenye rules zake hiyo ingekuwa ngumu kwa wanasiasa kutetea maslahi...
  5. inno89

    Binadamu lazima ujiulize maswali haya kabla siku haijaisha

    Kwakweli hii nzuri nimeipenda ndugu
  6. inno89

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Habari , ninatafuta msichana wa kazi ambaye anauwezo wa kufanya kazi ndogondogo za nyumbani kama kupika(sio milo yote), kudeki,kufua,kuosha vyombo na kushinda na mtoto wa mwaka mmoja na nusu. Umri kati ya 14-21, uwe mvaaji wa nguo za heshima(suruaili mibano,taiti,vimini hazitakiwi). Mahitaji...
  7. inno89

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    Kama kuna mtu yupo Arusha ameshaanza hii project naomba anicheck ktk hii namba 0765596933 ili nione hii fursa kama iko makini then ntaomba mafunzo kwa bwana Biashara2000. SHUKRANI NATANGULIZA
  8. inno89

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    Aiseeee mzazi kwanza nakupa saluti sana kwa jitihada ulizozionesha toka 2013 kwa post zako za huu mkaa wa kisasa, mimi nipo Arusha , toka kitambo nilitaka kufanya biashara ya mkaa wa kawaida na nlianza process za kufuatilia kibali cha kuuza mkaa ila hii secta nikagundua ina changamoto mingi...
  9. inno89

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Sijakusoma swali lako, weka swali vizuri mkuu
  10. inno89

    Tunauza mchele wa kahama jumla 1600, rejareja 1700.Tan 2 jumla ni 1300kg

    Ntafute ktk hii namba tuyajenge vyema 0765596933 (INNOCENT)
  11. inno89

    Tunauza mchele wa kahama jumla 1600, rejareja 1700.Tan 2 jumla ni 1300kg

    Mchele bado upo tena wa kutosha, Kwa hapo moshi naweza kuutuma haina Tatizo, ntafute ktk hii namba 0765596933
  12. inno89

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kila kitu kinawezekana, Hizo picha ni huko kahama napochukua mchele na nlianza na mtaji mdogo tuu Kama wako lakini naona mambo yanaenda safi, cha msingi uwe kwenye location nzuri na mengine yatafuata ndugu yangu.
  13. inno89

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
  14. inno89

    Nahitaji mtu wa kuniletea mchele kutoka mkoani kunzia tani 2 na kuendelea

    Kama una muda Kijana twende kahama tukachukue mchele mm napeleka arusha kutoka kahama,na magari ya kupeleka Mzigo dar yapo kibao kwa bei chee, Kama uko serious fata Mzigo mwenyewe uone faida yake Hii ya kuletewa utauziwa bei kubwa ndugu yangu , ni ushauri tuu
  15. inno89

    Kwa msaada wa kupata mchele wa kahama muone jamaa kanisaidia sana

    Kwa wale wageni ktk biashara ya mchele wa kahama, au unahitaji mtaalamu wa huko kahama anayehusika na mchele huu wa kahama vizuri ni huyu jamaa, maana mm nilikuwa mgeni ktk hii biashara lakini huyu jamaa alinisaidia na sasa mambo yangu yanaenda vizuri. Huyu jamaa yupo kahama pale mashine kubwa...
Back
Top Bottom