Naona ipo haja ya kuundwa independent police commission , ambayo itakuwa in review matukio ya police dhidi ya raia , kwa sababu ni wao police wenye kujua rules of engagement. Na iwe na mamlaka ya kuwa adhibu au ku recommend ajabu kwa wahusika na report zao ziwe za wazi , ili kuepukana na tabia za police kwenda kinyume na rules za utendaji wa kazi au kutumia madaraka Yao vibaya dhidi ya raia au polisi mwingine mwenye cheo cha chini. Na pia kupunguza matukio ya kitaaluma kuingiliwa saana na WANa siasa , hivyo kuzalilisha kazi za Watu wengine au za kitaaluma.