Recent content by Inno segeret

  1. Inno segeret

    Mwanamke mkorofi ni rahisi kuishi nae kuliko unavyodhani

    Mimi binafsi huwa sipendi makelele ya mwanamke......
  2. Inno segeret

    Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Dah umeongea point sana.......sometimes nikitokaga Job naweka music anaoupenda nambambia kichizi...nikitoka hapo namwambia hivyo ndivyo nilivyokuwa nabambia kabla cjaoa....wife wangu ni mwanangu sana....nikizingua kwenye show ananambia mwanangu leo umeniparaza tu...6 yr now ...no mikwaruzo...
  3. Inno segeret

    Msaada, ipi dawa nzuri ya kuua na kumaliza kabisa uwepo wa mazalia ya mdudu mende

    Dawa Ya vimende vile vidogo ni dawa fulani hivi ya mbu ...inafanana dizaini kama condom...chukua ile choma kwa jiko la mkaa funga mlango ...utakuja kunishukuru....inauzwa miambili tu.
  4. Inno segeret

    Ugonjwa wa mafua na kikohozi kwa watoto Chini ya mwaka Milano.

    Mimi mtoto wangu Ana one year anaumbuliwa na mafia nimpe dawa Gani ya asili
  5. Inno segeret

    LIST YA VYUO VIKUU BORA TANZANIA NA NAFASI ZAO KIDUNIA

    Ahsante Wadau nzur sana hyo now we know...
  6. Inno segeret

    UDOM second round

    Wadau account yangu ya udism Inagoma login yake na reset password bado inasumbua...hivyo mwenye PDF file ya udism...MUCE na DUCe round ya pili azitume.....msaada tafadhali wana jf
  7. Inno segeret

    UDOM second round

    Mwenye PDF ya udism MSAADA tafadhal
  8. Inno segeret

    UDOM second round

    Bongo Bahat mbaya asee
  9. Inno segeret

    UDOM second round

    Wadau nasikia round ya tatu inaishia Leo na post hazijatoka hii imekaaje....so ukikosa Awamu hii Ndo Bas tena ad Mwakan...
  10. Inno segeret

    UDOM second round

    Okay hata wew Ukipata
  11. Inno segeret

    UDOM second round

    Wadau mwenye PDF file ya udom tafadhali
  12. Inno segeret

    UDOM second round

    Wadau mliopata majina waken PDF file ya UDOM na UDISM
  13. Inno segeret

    UDOM second round

    Wadau huwa Nasumbuk Sana kupata majina ya post kutokana na mtandao so soon tu baada ya kutoka naomba majina ya UDOM,UDISM,RUCU,UoI msaada wana Jf
Back
Top Bottom