Recent content by Injinaya

  1. I

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Hongera mkuu! Mm nimemaliza mining hapa udsm. Mpango wangu ni kuanzisha crusher na ball mill nyarugusu geita. Unanishauri vipi katika hilo maana una uzoefu wa kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Una chimba Madini gani na sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke hadi leo sijajua kama ananipenda au laa!!

    Simu anakupigia sana na oapuchi anakupa. Sasa wewe unataka nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri na mtungi wa gesi kwenye basi

    Utie kwenye gunia! Uweke na nguo nyingi kuwazuba wasigundue Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Nafasi 400, walioomba 56000. Hiyo ni sawa na asilimia 14,000%. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanajeshi amvua msichana nguo zinazofanana na sare ya jeshi hadharani

    Utafurahi kuvuliwa au sio Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Ufugaji wa kuku broilers and layers

    Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa Kuku, naomba kujuzwa eneo zuri, ambalo lina ni wazi sana halina msongamano wa watu kwa ufugaji wa kuku kwa mikoa ya dar na pwani. Lengo ni kufuga kuku wa kutosha na kulima mboga mboga na nyanya. Eneo liwe na uhakika wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha mcha Mungu

    Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha mcha Mungu

    *engineer Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha mcha Mungu

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha mcha Mungu

    Wakuu habari yenu Mm kwa jina naitwa David Denis. Ni graduate enginner . Natafuta mke/mchumba awe chini ya miaka 24. Aliyeko tayari anitafute inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

    Location ni wapi mkuu na sisi tuje
Back
Top Bottom