Naomba ushauri. Ufugaji wa kuku broilers and layers

Naomba ushauri. Ufugaji wa kuku broilers and layers

Injinaya

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
13
Reaction score
3
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa Kuku, naomba kujuzwa eneo zuri, ambalo lina ni wazi sana halina msongamano wa watu kwa ufugaji wa kuku kwa mikoa ya dar na pwani. Lengo ni kufuga kuku wa kutosha na kulima mboga mboga na nyanya. Eneo liwe na uhakika wa upatikanaji wa Maji ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom