Recent content by InfinixS4

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

    hii imekaaje?? kwamba haurudishiwi hata pesa zako ulizoinvest. naomba kuelewa zaidi
  2. I

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Hellow. Naomba tusaidie japo mpangilio tuone sample.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Masters in minitoring

    Habari Naomba msaada Hii MASTERS OF ARTS IN MONITORING AND EVALUATION inayotolewa na open universty ipoje na ina uwanda mpana kiasi gani??? Je naweza kufanya miradi ya afya katika kitengo hicho au .?? Ninataka kuissoma ila natamani kuijua well kabla sijaingia vibaya. Kindly assist
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

    Ina maana kwa mtu anaeendesha kwa mwendo wa wastani mpaka 100 ni nzuri hasa wanawake sababu hawapendi soeed sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    980,000 basic
  7. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni aina gani ya kazi kama mtimu wa health system management unaweza kuzifanya??? Both private na serikalini... Tuweze kukusaidia....
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma Health Service Management wanafanya kazi zipi?

    Hellow habari . samahani ninahitaji kusoma hii kozi ya health management... Naomba overview zaidi mkuu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio: inafaa kwa Taxi?

    Hellow! Bado una hii gari? Ama a woman. Nahitaji gari isiyokula sana mafuta. Ila sijui kabisa magari
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Wataalamu , mm ninasumbuliwa sana na hii shida ya genital warts. Nimesoma uzi humu ukishauri kupaka kitunguu saumu. Loohh Kimeleta balaa kubwa maana kimefanya kama kuunguza na kuniachia vidonda. Naomba wataalamu mje na wale ambao wamewahi kupitia hali hii...walitumia nn wakapona hili tatizo...
Back
Top Bottom