Recent content by inezzle

  1. I

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia speed camera & traffic sygic

    Habari wana jamvi,samahani jamani kwa yetote yule anaejua matumiz ya io application walau kwa kifupi naomba ajaribu kunielekeza angalau nielewe hata kdg namna ya kuitumia Ahsanteni sana
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mahali napoweza kupata historia & habari mbalimbali za football

    Hbr wana jmvi,kwa heshima kubwa naomba mnipe maujanja mbali mbali ya football ikiwemo sites mbali mbali za kupata habar za mpira au majna ya vtabu vilivyoelezea baadhi ya mambo ya mpira Natanguliza shukrani
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya dulla makabila

    Hbr wadau,naomba kwa yeyote mwenye song LA dulla makabila linaloitwa hujaulamba anidondoshee nilipakue coz nimelitafuta kwny vyanzo mbali mbali nimelikosa Natanguliza shukrani za dhati
  4. I

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya adobe photoshop

    Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala! Natanguliza shukrani
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kazi VP? Km VP naomba mnipe majeshi ya mega mix nitiririke
  6. I

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kondomu

    Shukran kenzy kwa kunitoa tongo tongo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kondomu

    Shukrani sana ndg Castr kwa maelezo mazuri
  8. I

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kondomu

    Habari wana JF, Naomba mnisaidie, eti kondomu ipo kwa ajili ya kuzuia mimba tu na sio maambukizi ya UKIMWI? Maana Jana kuna mtu kanambia kuwa kondomu haizuii kitu endapo utashiriki na muathirika. Je ni kweli? Natanguliza shukrani
  9. I

    JamiiForums Tanzania Uchawi huu wa kisambaa ni noma

    Mshana Jr ebu 2pia namba yko nkuulze ki2
  10. I

    JamiiForums Tanzania BEI YA AIR MAX

    Habarin ndg zangu,naomba mnijuze bei za airmax fupi Na ndefu ambazo ni original kwa bei za kariakoo na kama ww utakua ni muuzaji kbsa itapendeza ukiniwekea na namba yko ya simu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa video downloaded kwenye instagram

    Big up xn mnyaga1 kwa maujuzi yko umenitoa tongo tongo!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa video downloaded kwenye instagram

    Nawashukuru sana ndg zng mmenipa maarifa,nmepata pa kuanzia
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa video downloaded kwenye instagram

    Habari ndugu zangu, Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
Back
Top Bottom