Recent content by indoor

  1. I

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Kitanzania kichekesho

    ndugu yangu hongera wewe hujawahi lishika hilo gazeti. Mwenzio niliwahi fungiwa vitumbua uswahilini nilipoona ni kipande cha gazeti la jambo leo nilitupa vitumbua vyote chini kwa hasira.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Siku CHADEMA ikifa

    so unataka kutuaminisha kuwa chadema ni chama cha watu wa kijiweni na wenye uelewa mdogo? Nafikiri wewe akili zako ni kama za bata. Hujui kuwa mtaji wa ccm ni hao watu uliowataja!!?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

    mtu mzima ovyo. unatia kinyaa kwa uongo wako. huoni aibu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda yuko sahihi

    huyu shekhe kuna wakati aliwahi kusema anataka waislam watibiwe na waislam na waislam wanawake watibiwe na madaktari wa kike bila kujua idadi ya madaktari kwa uwiano wa dini na idadi ya madaktari wa kike. pia hakujua idadi ya hospitali zinazomilikiwa na wakristo na zile zinazomilikiwa na...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Taire taire taire baba, gazeti la tanzaniadaima too much tena

    mbona hueleweki wewe. so unalalamika gazeti kutoandika habari fulani. Uliwalipa? acha udini we zumbukuku.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Chadema washikwa pabaya watengeneza UONGO usio na nguo kuhusu Nape.

    mbona ccm mnajichanganya sana. mlisema chama chenu imara tena leo mnasema anaimarisha chama. inaboa kweli
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CCM yafungwa na kugeuzwa ya CHADEMA:CCM yapoteza Mali na wanachama

    Nepi alisema wanaohama wamepoteza mvuto katika chama na wanatekeleza agizo la nec kwa vitendo. kwa mwendo huu basi ccm wote watakiwa kutekeleza agizo la nec kwa vitendo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CCM yafungwa na kugeuzwa ya CHADEMA:CCM yapoteza Mali na wanachama

    Ndaga fijo kyala.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    wananchi wa Arumeru na hasa vijana nimewakubali kwa ujasiri wenu wa kulinda kura. May God bless u all.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

    kitu kilichonishangaza Raisi anarudia maneno
Back
Top Bottom