Habari ya Leo ndugu,
Jana nilipambana Sana kufanya kila aina ya ushauri mlionipa wadau ila ilishindikana,
Leo nimepata ushauri pia nitaufanyia kazi ,napaswa kuchek pia CMOS BATTERY na BIOS inaweza ikawa kuna shida, ila nawashukuru kwa ushauri sana na bado nahitaji ushauri zaidi kwasababu bado...
Hata hard disk nimeweka nyengine Mkuu, machine inanitesa Sana, blue screen inatokea ikisha Waka, ikikaa kwa muda kidogo ndio inastack na kuleta blue kioo chote
Nna laptop yangu ni HP Compaq, toka nilipo nunua ilikuwa natumia iko poa ila kuanzia juzi imeleta tatizo, ukiwasha inawaka ikitoa logo ya hp haiendelei, au wakati mwengine nawaka mpaka mwisho na unaweza kutumia kidogo then inastack na kuleta blue screen au mawimbi mpaka uizime au ijizime...
Mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho kati ya Simba dhidi ya Al Masry utapigwa Ijumaa ya March 09 kwenye uwanja wa Taifa kulingana na mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na shirikisho la soka barani Afrika, CAF.
Awali mchezo huo ulikuwa umepangwa kupigwa March 06.
Mchezo wa marudiano utapigwa...
Jeshi sio baya but viongoz wake ndio wenye matatizo,ndugu yangu ameuguliwa na mama yake na amezaliwa pekeake ila alinyimwa. Uhamisho ili asogezwe apate kumuuguza mzazi,likizo alibaniwa mpaka alifisi,ikabidi aache kazi ndani ya sana 24,ingawa mpaka sasa anaipenda. Kazi ila ilibidi aache,viongoz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.