TRA is wasting its time and resources; they better concentrate on reforming the law. It is not about oil or gas as URA's experience does not fit here. TRA us aware of Africa Mashariki Gold Mines' case; knows also why it failed to tax acquisition of Zain by Airtel. TRA should be aware of Vodafone...
ICTR imashaanza kufungwa na wiki ijayo wanaanza ku-dismantle one of the court room. Kesi ambazo hazikuanza zimekuwa transferred Ufaransa na Rwanda, majaji walobaki ni wa rufani kwa ajili ya kusikiliza rufaa ambazo lazima ziwe over by mid-2014. Hivyo ICTR itafungwa rasmi 2014; Then tetesi kwamba...
Fatou Bensouda alikuja kwenye mkutano juu ya Africa na ICC; 10 years on! Ulioandaliwa na Africa Legal Aid. Tulifanyia mkutano huo SnowCrest Hotel tar 28 & 1. Kwa kuwa ana hadhi ya kidiplomasia na kuwa alishapata barua ya LHRC, ulikuwa ni busara akutane na Mr. Dhaifu.
Mkuu HAGM hakuna kitu pale uoga mtupu; Kama si Tundu Lissu hata msingenong'ona. Prof. Dr. Wambali pamoja na kupewa jukumu kubwa kabisa la kuuhutibia mkutano ule was too lenient to the status quo. Nitawapa big up mkiniambia mmeshafungua mashauri ya kikatiba juu ya hilo. Hebu igeni hata kutoka kwa...
Habari wana JF,
Naandika kutoa maoni yangu juu ya TLS na Majaji vimemo! Tumefika hapa sababu ya uzembe wa miongoni na Taasisi nyingine, TLS! Kazi ya hii Taasisi iaonekana ni kule hela za mawakili, zile laki sita kwa mwaka na kuendesha vikao! Msaada wake kwa Tasnia ya sheria, hasa tukiangalia...
Heshima JF,
Katika hali isiyo ya kawaida, wana wa kimara mwisho wameyarushia mawe magari aina ya Coaster sita ambayo yalikodiwa kwa ajili ya kujaza uwanja wa jangwani. Gari hizo kwa taarifa nilizozipata kwa haraka katika upelelezi wangu ni kwamba Tatu zilikuwa zinaenda maeneo ya Kibaha na...
Mkuu nina wasiwasi na IQ yako! Hivi Mkoa wa Mtwara na Lindi una watu wangapi? Na je kata zao zina watu wangapi? Unategemea mkutano katika kata za Lindi na Mtwara iidhuriwe na watu 50,000 na wakati kata ina watu 500?
Si Gambo na JK, bali Ridhiwani na Gambo; Nimewahi kunasa mawasiliano baina yao ambapo Ridhiwani alikuwa akipanga na Gambo jinsi ya kuoambana na Ole Millya; Hivyo U-DC wa Gambo ni mshahara kazi aliyotumwa.
Magamba kazi ipo! Imagine hata kama kuna hizo kura 14850, unaweza ukatuambia unaziattribute vipi hizo kura kwa mnyika? Just like in Mpendazoe's case the fact kwamba kuna kijana alikamatwa na mihuri ya tume; how do you attribute that to Makongoro. Kama huelewi sheria, acha ku-coment, si lazima...
Wana Jamvi, naona kama yupo humu ndani atakuwa amewaelewa. Binafsi nilimcall na kumweleza alichokifanya Heche hakikuwa sahihi kumjibu punguani Shibuda, lakini nikamweleza alichikifanya yeye hakikuwa sahihi zaidi kutakana na njia aliyoitumia. Nilimwambia kosa halirekebishwi kwa kosa. Kakubali...
Una makosa kisheria, umeumia ukijua kuwa wamekucredit kwa makosa, you had to report that; "Money must have a specific source, does not come from the tree. If one sees some money in his account not knowing where the money comes from and uses it, then you cannot claim to have used it in good...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.