Tls na "majaji" wasio na sifa

Indicator

Member
May 3, 2012
14
2
Habari wana JF,
Naandika kutoa maoni yangu juu ya TLS na Majaji vimemo! Tumefika hapa sababu ya uzembe wa miongoni na Taasisi nyingine, TLS! Kazi ya hii Taasisi iaonekana ni kule hela za mawakili, zile laki sita kwa mwaka na kuendesha vikao! Msaada wake kwa Tasnia ya sheria, hasa tukiangalia judiciary ni negligible! Aliyoyasema Tundu Lissu nadhani yalipaswa kupigiwa kelele na TLS mda mrefu uliopita; Nashangaa walikuwa wapi haya yote yanatokea! And what is their role then? Ingalikuwa Kenya, wangalikuwa wameshafungua shauri la kikatiba juu ya uteuzi wa majaji wa namna hii! TLS ipo tuuu! Inaniboa basi tu! Ni miongoni mwa waliokata rufaa kwenye kesi ya Mtikila kule Mahakama ya Afrika Mashariki; kwa hilo big up; but mnafanya nini wakati wanasiasa wanaidhalilisha taaluma ya sheria mchana kweupeeee! Ebu fungueni shauri la kikatiba muone kama watu hawajaandika barua za kustaafu kabla hawajumbuliwa! Msimwachie Tundu peke yake; kumbukeni "if you unite, you will loose nothing except the chains of exploitation"


My Take: TLS ni wakati wa kuchukua
hatua kulinda hadhi ya taaluma!
 
Mkjuu hujahudhuria HAGM ya TLS huko ungefunguka?

Mkuu HAGM hakuna kitu pale uoga mtupu; Kama si Tundu Lissu hata msingenong'ona. Prof. Dr. Wambali pamoja na kupewa jukumu kubwa kabisa la kuuhutibia mkutano ule was too lenient to the status quo. Nitawapa big up mkiniambia mmeshafungua mashauri ya kikatiba juu ya hilo. Hebu igeni hata kutoka kwa jirani zetu wa Kenya wanavyokuwa active kutetea Rule of Law. Au mpaka Mtikila awa-retain ndo mchukue action mkuu!
 
hivi iyo TLS ni chama cha siasa au? ata sijawahi kukisikia...
 
Back
Top Bottom