Recent content by Indaji

  1. I

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Kuna mijitu inaandika upupu hada raha... ukimwambia alete facts hana.
  2. I

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Kama zipi...? Ili tuanze kulingamisha tujue nani ataumia zaidi
  3. I

    Filamu zetu zifikie kiwango cha juu Kimataifa

    Shida ni mshiko wa kugharamia... hakuna ambaye ameshawishika kuwekeza pesa zake kwenye sekta hiyo. Hivyo movie tunazoziona nyingi ni watu waweze kuganga njaa tu basi
  4. I

    Watanzania ni wanafiki hasa kuhusu Sakata la BSS

    Wamlipe pesa yake 20m lkn hiyo 30m kulingana na mkataba wa shindano ni kwa ajili ya promotion. Haiwezekana kwa namna yoyote ile igeuke kuwa mali ya mshindi. Vigezo na masharti ya kuingia kwenye mashindano lazima vizingatiwe.
  5. I

    Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

    Huo ndo mkakati wa biashara. Kama unaweza kuchota viewers wa mpinzani wako kwa kuingilia soko lake hiyo inakubalika.
  6. I

    Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

    Swala la C&P tunalikuza mno kwa msingi wa wivu na chuki binafsi hasa kutoka kwa mashabiki wa media tofauti tofauti. Hivi leo tukiangaza kuonglea vitu vinavyofanana kwamba ni C&P dunia isingefika hapa. Leo hii duniani ina makampuni mangapi ya simu? sio wote wali C&P kutoka wazo la mtu wakwanza...
  7. I

    Diamond kila siku anatoa nyimbo mpya anazitoa wapi

    Umenena... ata wachina wanazalisha bidhaa za hovyo hovyo lakn ndo hao hao wanazidi kuwa matajiri... akili kwa kichwa..
  8. I

    Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

    Kasome tena, hata kwenye vitabu vya Mungu kuna mfalme Suleimani alijenga mjengo wa haja.
  9. I

    Harmonize hii 'Niteke Remix' umeanza nayo vizuri ila umeharibu

    Ni mzuri ila sijaona kama ameangaisha kichwa zaidi. Itamchukuwa muda kuja tena na ngoma kama kwangaru.
  10. I

    Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

    Dunia inavyoonekana kutoka anga za juu
  11. I

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Kama mwanachama na msomi ambaye alikuwa kwenye serikali alikuwa na nafasi nzuri sana ya kushauri hayo aliyoainisha kwenye barua yake ya kujiondoa Chadema. Ni hali ya kawaida kila anayetoka chama hakosi sababu hata rais wetu leo hii akiamua kubama chama hatokosa sababu. Mimi kwa maono yangu ni...
  12. I

    Ulimwengu wa Roho nini? Uko wapi?

    Si vyema kusema hili swali ni gumu. Ila kabla ya kulijibu ni lazima wakati mwingine udadavue kujua kiini cha muuliza swali. Kitu cha kwanza msingi ni kuelewa maana na kwanini kuna ulimwengu wa Roho. Maswali mengine yote yatajijibu pindi mtu akielewa maana ya ulimwengu wa roho. Kwa vile mimi ni...
  13. I

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Ukisikia mkuki kwa nguruwe ndo hii. Clouds walichelea meno yote nje wakati walipokuwa wanarusha matangazo makonda akiwadhalilisha watu. Nani asiyejua jinsi walivyomdhalilisha yule mama kwa maneno ya ovyo lakini bado clouds wakarusha tena kwa majigambo ya kupongeza Bashite. Nani asiyejua jinsi...
Back
Top Bottom