Recent content by inc Xp

  1. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Mimi nipo Dar, japo awali kwenye lile tangazo la hii kazi sikuona kama coastal zone kwa sasa ipo
  2. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hamna mzee kuna miswali mle Ukikomaa kusoma paragraph nzima ushapotea ujanja ni kukimbilia kwenye majibu. Yani majibu ndo yanatoa jibu
  3. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Oya sio poa hio miswali mkule kabisa wazee
  4. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ulipata ngap mkuu
  5. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Nachukia watu wanaodharau elimu ya mtu kisa elimu yao kubwa

    Mkuu sio wote
  6. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kupata kazi ya UNV?

    Alright, ukianza kushare don't forget na hapa kwangu plz geniusmetusela@gmail.com
  7. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

    Hata picha mmh?
  8. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo unaosikika kwenye eneo la kiitikio kama "ewe dada sakina una nini wewe" ni zilipendwa nadhani
  9. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Bless up Roga Roga mzigo umenifikia
  10. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Mambo ya 'mamaa nipe nauli nikamfate monica'
  11. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Naomba unipatie kibao kinachoitwa kesi ya kanga by ndala kasheba mkuu
  12. inc Xp

    JamiiForums Tanzania DANCER MPYA WA WCB AKIONYESHA MAKEKE

    Hahahha, Hii ni hatari kubw kabisa kutokea
  13. inc Xp

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa, Mzee Francis Kanyasu(Ngosha) afariki dunia

    Nna mashaka sana na hospitali ya taifa muhimbili
  14. inc Xp

    JamiiForums Tanzania Waziri wangu Ndalichako, mwanafunzi aliyetetewa kwa nguvu zote atafunzwa na dunia!

    Hiki kitabia mashuleni kipogo sana kilishawahi kunifanya niichukie sana shule japo sikuwa mtukutu, yani walimu wamemshikia yeye mwalimu kazi yake ni kutwanga tu ngumi,unaweza tamani ugeuke undertaker, bullshit!
Back
Top Bottom