Recent content by Inbetween

  1. I

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge 'Sugu' afikishwa Mahakamani na Kushinda Kesi ya Kumuita Waziri Mkuu 'Mpumbavu'

    Basi kama mnataka tusitumie Hilo neno tupeni neno mbadala ya hilo. Naona mahakama nazo zimechoshwa kuamuliwa na ccm
  2. I

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    Hilo ndo "jembe" la chadema, majembe mengine yapo na mengine yanasubiriwa 2015. Peoplesssssssssss powerrrrrrrrrrrrrr.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Nothing from him z new, ts better to be quite
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Madiwani kata za Arusha Waahirishwa hadi Juni 30, 2013

    Sasa kitakachofuata ni fujo kwenye misiba ya waliopoteza maisha. Manguli wote wawili watagombania kusimamisha benders zao. Ccm wakitaka kujua how Maasai and waarusha angry they are, wajaribu kusimamisha hicho kitambaa chao. R. I. P wote waliopoteza maisha.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    That is the way we like. Chomeni hata tisheti na vilemba walivyovaa don't care about them. Foolish people of ccm!!!!!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

    So amaizing ndugu! Why oppressed in our own country? I think there's a need for change. Haiingii akilini kupitisha barua za maombi kwa wakuu wa wilaya bora wangesema zipite kwa wenyevit wa vijiji becoz huwa wanachaguliwa na wananchi wao. Au wanataka kusema kaz za wakuu wa wilaya ndo izo? Labda...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Dar: Majambazi yapora na kuua

    haya matukio yamezidi tz, r.i.p
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Shame upon us Tanzanians! Sichochei udini but what I can say udini upo and it is becoz of our leaders and not citizens
  9. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Du! Na bajeti ya katiba na sheria ilivyoomba mahela kwa ajili ya hiyo katiba mpya ndo atang'ang'ania huko hadi azipate.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Safi sana mh.Lema, hao MA ccm najua watasema ni siasa za kutafuta kura kwa madiwan wa cdm. But sie tunasema whatever the case tutasonga mbele
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    cdm watashinda wote tena kwa hasira lazima Kura zote za wakristo ziende cdm
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Labda anaenda mosque. Ni walewale tu wasiokuwa na elimu dunia
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Tuombee taifa letu kwa pamoja bila kujali itikadi zetu za kidini
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Jamani tusiwe wepesi kutoa taarifa ambazo hatuzifahamu. Unaposema mtu mmoja kafariki unafurahishwa na nini hasa. Madaktar hawajathibitisha mtu kupoteza maisha we umepata wapi?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Mungu ni mwema hakuna limshindalo. Mi nashangaa why ni kanisa katoliki tu? Au bcoz wasomi ndo wamejaa huko na misisim ndo imeamua kupigana nao? In the name of Jesus Christ hawataweza kupigana nasi.
Back
Top Bottom