Uchaguzi wa Madiwani kata za Arusha Waahirishwa hadi Juni 30, 2013

Sasa kitakachofuata ni fujo kwenye misiba ya waliopoteza maisha. Manguli wote wawili watagombania kusimamisha benders zao. Ccm wakitaka kujua how Maasai and waarusha angry they are, wajaribu kusimamisha hicho kitambaa chao. R. I. P wote waliopoteza maisha.
 
Huo bila shaka ni uamzi mzuri kwani utapisha muda wa kuomboleza na kufanya mazishi kwa wapendwa wetu, lakini pia seikali ijaribu kufanya jitihada za makusudi kubaini wale wote waliohusika.

Zishaundwa tume mpaka leo hazijawahi kutoa majibu. Usitegemee jambo jipya kutoka huko.
 
Kufuatia tukio la mlipuko jana jumamosi Arusha, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha chaguzi za madiwani katika kata zote nne (4) jijini arusha hadi jumapili ya tar 30/6/2013.

Poleni wote mlioguswa na tatizo hili.

-----------------------------

Afadhali watu hawatapiga kura kwa jazba na taharuki. Huu sio wakati wa kuchagua chama. Hatuwezi kuvumilia watoto wetu kuuliwa hivi kisa madaraka. Shame on you both.
Tukirudi tunachagua mtu sio chama
 
Huo bila shaka ni uamzi mzuri kwani utapisha muda wa kuomboleza na kufanya mazishi kwa wapendwa wetu, lakini pia seikali ijaribu kufanya jitihada za makusudi kubaini wale wote waliohusika.
wahusika ni serikali ya Kikwete.. Unadhani watajichunguza? The hegue inawasubiri
 
Back
Top Bottom