Mkuu hata mimi nimeshtuka sana na nipo mbali na mbezi beach ila mlio ulisikika karibu sana. Vipi ilitangazwa kwenye vyombo vya habari kutakuwa na fataki zitapigwa?
Naomba nijibu hoja:
Nilifahamu kabla ya ndoa kuwa kuna watoto wengine na niliambiwa watakuwa wanaishi na mama yao as mama yao hataki kuwaachilia. Ila moyoni nilijiwekea kwamba vyovyoye vile ni sawa wakija kuishi na baba yao au waishi ma mama yao.
Mkuu sikuvunja ndoa ya mtu, nilikuta wameachana...
asante mdau iryn Nadhani kwa aliyewahi kukumbwa na tatizo hili anajua ugumu wa suala lenyewe hata kulizungumzia tu kwa kuwa masuala ya properties kwenye ndoa ni sensitive.
Lakini naamini hii haimaanishi mwanamke atoe tuuuu hatakama anaumia ili ajenge ndoa! Leo nasikiliza zaidi maana kuna wenye...
Asante mkuu kampelewele Sikuanza hivyo ila kuna viashiria nilivyoviona vikawa vinanipa cold feet. Hivi ni kwa nini mwanaume mwenye uwezo wa kutunza familia yake adanganye hana uwezo ili mkewe amtunzie wanawe wanne wakati yeye akila bata tu?
Baada ya hapo nategemewa nisiwe na wasiwasi wowote...
bhikola
Napata point yako mkuu, but hukuweka possibility that the man might indeed be kwenye route ya kutaka kunitumia na sio fears za "mwanamke mpumbavu" tu! Kwani hatujayaona haya kwenye jamii yanatokea? Asante kwa ushauri wako
Tafadhali fafanua zaidi mkuu ili kupata mawazo chanya
Kikristo
Kwa nini unasema hakuna ndoa hapo mkuu? Kwa mawazo yako nini kirekebike ili kuokoa hiyo ndoa?
Habari zenu,
Ni hivi nimeolewa, mume wangu ana watoto 2 kabla ya ndoa yetu nasi tuna watoto wawili. Wote ni waajiriwa nje ya jiji la DSM. Baada ya kuoana tukaanza maisha nikajikuta naachiwa majukumu ya kutunza nyumba. Jamaa kila nikimuuliza anasema hana hela na haishi sababu ambazo mimi zikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.