Recent content by Imphuvyi

  1. Imphuvyi

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa

    Pia kuna bedside
  2. Imphuvyi

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa

    Sofa mbili, 130k kila moja Vitanda viwili, 140k kila kimoja TV solamax inchi 43, smart 400k Showcase 70k Coffee table kubwa 170k Coffee table ndogo 130k Godoro inchi 8, 5/6, 130k Godoro inchi 6, 5/6, 100k Kabati la nguo futi 4.5 300k Karibuni, ukonga majumbasita. 0696276166 Sabati la vyombo 170k
  3. Imphuvyi

    Dereva wa bolt/indrive/faras na uber natafuta gari ya hesabu au mkataba

    Achana na udereva kaka... Njoo tujifunze pamoja kupika kacholi za ndizi.
  4. Imphuvyi

    Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

    Sheria za Mungu na za nchi! Bila shaka utakuwa hujaolewa! Na nina uhakika pia SIO BIKIRA! Leta story zingine, Mungu achana nae.
  5. Imphuvyi

    Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

    Naona kuna kitu hakipo sawa kidogo!! Wewe ni ke au me?
  6. Imphuvyi

    Nataka kujifunza kuhusu Dark Web

    Nipe kaifa mzee, inakuwa kuwaje hiyo?
  7. Imphuvyi

    Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

    Mkuu hiyo laki si bei ya single room tandale?
  8. Imphuvyi

    Nataka kujifunza kuhusu Dark Web

    Habari, Nina shida na mtu, mtaalam wa IT mzuri, anifunze kwa undani matumizi ya DARK WEB. Malipo, maelewano. Nawasilisha
  9. Imphuvyi

    Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

    Una uhakika kweli kuwa ndugu zako wote wa koo ya baba yako na ya mama yako wapo kazini????? Chini ya mbingu hii hii na Mungu huyu huyu????
  10. Imphuvyi

    Tangazo la ajira ya mgahawa

    Kibaha ipi mkuu
  11. Imphuvyi

    Natafuta kazi

    Dar
  12. Imphuvyi

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Kwa nini wanaotafuta kazi na wafanya kazi wakipata hawaleti mrejesho?
  13. Imphuvyi

    Mimi ni mpish mwenye uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali, natafuta kazi

    Habari za jioni wakuu... Nashukuru sana kwa mara nyingine kwa wote mliyoonesha nia ya kunisapoti (kuniajiri, kunipatia kibarua). Mbarikiwe sana. Nimefanikiwa kupata nafasi sehemu japo ni ya muda (not permanent) lkn kutokana na kwamba wamenikuta mkweli, (maelezo ya Ujuzi wangu yameendana na...
Back
Top Bottom