Recent content by Immortan joe

  1. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha ebu nitafutie maroda na mkenya
  2. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha aice yule urafiki nae we uende tu shamba naskia major cku hizi...hapo maroda pemben
  3. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hahaha 824kj enz hzo mkuu op kikwete
  4. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitasimama na wananchi

    Tz kuna maajabu mengi sana, sasa kama baba/mama mwenye mji anaogopa kupambana na nyoka mdogo aliyeingia ndani mwake kwa kutishia kulala nje, sisi watoto wadogo tutafanyaje
  5. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Hii tabia ya wanasiasa kutokuwa na misimamo thabiti ndo inafanya kuaminiwa inakuwa ngumu, anaongea hiki Leo then hujui kesho kama ataamka na msimamo ule ule,sasa kuwashikia mapanga na marungu cc hatuwez kilichobaki tunapeleka kilio chetu kwa karma tu basi.
  6. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya: Shaka asema Ajira zaidi ya milioni 35 zimezaliwa miezi sita ya Rais Samia

    Pengine najalibu kuwaza hapa huyu jamaa amepewa data za nchini Congo au Nigeria kwa ile population yao hesabu zake zinaweza kukaa Sawa ila kwa Tanzania pia mwalimu wake wa hisabati atakuwa anajisikia vibaya huko aliko, basi amsamehe tu hapa alizalisha kiazi
  7. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    Hahaha aice huyu mwingine pia wamemsahau mbona!!!?
  8. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: John Rupia na Julius Nyerere

    Historia ni mwalimu mzuri sana maana tunapata kuwafahamu waasisi wa taifa hili kiundani zaidi. Ubarikiwe sana mkuu.
  9. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Historia ya mtandao wa YouTube

    Shukrani, sikuwa naijua hii kitu kwakweli.
  10. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa amesema yeye ni Kaka wa marehemu wakati yupo harusini

    Haha unategemea upige hii kitu, then uitwe mbele upewe mic utakuwa sawa kweli!!
  11. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jitahidi ukiwa na 'Jazba' Kauli hii usiwe unaisema

    Genta, umeongea kwa busara sana natamani huu ushauri japo ausome au watu wake wamfikishie bila kuongeza au kupunguza kitu.
  12. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

    Pengine tumpe mda bado anajiuliza atoke vipi kama Bwana misosi,au pengine ni kama Tigo live it love it, au kama voda yajayo yanafurahisha.
  13. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

    Hahaha!! Aice hata mi nmeshangaa watz wengi hawana taarifa kuwa yupo TBC huko
  14. Immortan joe

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Siku hizi kila msomi anajiona yeye anajua kuliko mwenzake, ama kweli elimu ndogo ni ugonjwa.
Back
Top Bottom