Kobazi opinion- Iran si dola yakushinda <Usa....Casualties Human life matter ,usitake watu wafe kama sisimizi ,hiyo vita ya Iran ,Usa akitaka kuimaliza week inaisha Ushasikia MOB ,mother of all bom ,Iran iran inaweza fanya majivu ila matokeo ni Usa itaonekana ni wauaji wa halaiki
Imetosha ,itoshe kusame unaijua hii business na unajua unachokifanya wajinga wachache wasiota
ka kuelewa wasikuyumbishe kwanza hawana hela always thinking risks na ni pessimistic
#Iran ni Swala la Muda Wala si mbabe Kwa America ,zipo strategic reason why USA can't attack Iran in a full scale war ,na sababu ni Saudi ,Qatar japo ni Maadui wa Iran ,,,Iran will never posses nuclear war
Raisi wa Colombia aliambiwa na Trump is better watch is Ass.
#Ufransa Macron akatoa maoni Palestine itambulike Trump akambia your opinion doesn't no matter,
Hivi na yule waliyesungizia ni Mwajeshi wa marekani kakamatwa na mabomu vipi#
Dah serikali zetu za kiafrika Zina movie za kishamba sana ,USA soldier kwanza akifanya makosa Kwa Sheria zao anashitakiwa marekani tu si vinginevyo
#Matako yake hajui anacho ongea, punguzeni chuki Kila mtu abaki anacho amini ukiponfa ukiristo ,Uislam ni Imani na utamaduni wa mwarabu ni vyema kuweka mstari mwekundu # tuheshimu Kila mtu Imani yake whether ni Pagan or believer.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.