Recent content by immigrant

  1. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina tatu za uume (Sexual Union)

    Tanzania inasikitisha nashukuru nimeikimbia kidogo..huku haya mambo yapo lakini sio too much kwenye mitandao hivi...mitandao huku wat wanadiscuss..real social and love issues..utakuta mtu hapo ana miaka 30
  2. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    ila wabongo hii mitandao inatufanya tukuwa stupid kabisa...hivi mnafanya kazi huko bongo kweli aisee..
  3. immigrant

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano USA: Ubalozi waitenga Zanzibar, kosa letu ni kuhudhuria mkutano wa Jussa

    ila kusema ukweli...nimekuja kugundua watanzania tuna IQ ndogo sana...kuna mambo yanaendelea hapa DMV ni utoto na ujinga sana...mtu yupo US lakini anajikomba CCM apate madaraka..watanzania tuna matatizo ya akili..
  4. immigrant

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji UDOM

    Nendeni kwa lowasa
  5. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woman shoots man she met on craigslist for injuring her cervix during sex

    craigslist itatuuwa wengi
  6. immigrant

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajitambua kweli?

    ila zito atakuja kutwa na laana mbaya sana...ameuza watanzania vibaya mno
  7. immigrant

    JamiiForums Tanzania Vijana CCM kufungua Mashtaka Dhidi ya Dr Slaa Kwa Kukashfu CCM na Viongozi Wake!

    ujinga at it's best...kama marekani wamemruhusu kuongea wewe kidagaa ndo utafanya nini
  8. immigrant

    JamiiForums Tanzania Umebaki mwaka mmoja serikali ya CCM imalize muda wake

    Ila watanzania wasirudie kosa tena kuchagua ccm..itakula kwao mno
  9. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa staili hii, wanakera mno

    ila mademu wa bongo wana shida sana kwenye hili...wana maigizi mno..na sitaki nataka kibao
  10. immigrant

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    DMV lini
  11. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    picha za ngono zimeharibu kizazi chetu
  12. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To all good and hardworking men out there

    ningeendelea kusema ila basi inatosha sana..nafikiri nifanyakazi nzuri na kubwa..na mind u mm sio mtu wa ovyo kama unavyofikiria..hizi assumption achana nazo jf kuna watu humu acha kabisa
  13. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To all good and hardworking men out there

    Usisahau shule uliipata kwenye huu uzi itakusadia sana..
  14. immigrant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To all good and hardworking men out there

    Sidhani kama unanielewa ..embu google kitu kinaitwa behavior profilling au offender profiling utapata shule..
Back
Top Bottom