USHAURI KWA MABINTI-KAMA MWANAUME HUWEZI KUMPENDA AU HAJAKIDHI VIGEZO VYAKO, MTOSE SIKU ILEILE YA KWANZA ,SIO KUKUBALI KINAFKINAFKI! fyuuuuu
Wewe ndo inabidi ujitose. Wakati mwingine kumwambia mtu sikupendi inakuwaga ngumu. Lakini muhusika anatakiwa ajipime mwenyewe na kufanya maamuzi magumu.