Recent content by imma_cafelatino

  1. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Kichwa cha treni kilichookotwa bandarini ndio kimepata ajali Kigoma. Hivi kumbe walishanunua kimya kimya?

    Kwahiyo hiyo ajali baada ya kutokea na wewe kushangilia unapata faida gani?
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanataka uhakika wa maisha/pesa si 6 packs!

    Tafuta six packs kwa afya yako..life is beautiful with money
  3. I

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwanafunzi aliyetoweka nyumbani kwao kwa siku 30 afariki dunia baada ya kupatikana akiwa hoi

    Dah wabongo bana mshaweka siasa kwenye hii ishu daah
  4. I

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia wafungua kesi Mahakama Kuu kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

    Sio wanaharakati sema wafuasi na wanachama wa chadema huyu makongoro mahanga c kiongozi huko cdm
  5. I

    JamiiForums Tanzania UN: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama Tanzania na mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA na mwanafunzi wa Chuo Kikuu

    Unahisi magufuli ndio ataumia au?wewe pamoja na bibi zako kule vijijini mtapauka kisawa sawa.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nyeto raha sana

    Nyeto ina majina meengi Sana haya hapa machache:1.Yeyo(hili jina lilikuja tokana na sabuni flani ya kuogea enzi hizo ilikuwepo inaitwa yeyo)2.Mjegejo(Hii inatokana na bunduki ukiwa unaikoki Au kupiga 3.Chama(hii inatokana na huo mchezo wa nyeto kua na watu weengi Sana)4.Chekecho(hii inatokana na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu, angalia suala la matumizi ya barabara kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Kwa watu wasioelewa mambo ya security watabeza tu nakuona wajeda wanakosa.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania juu ya uchaguzi ni ugaidi wa kisiasa natoa rai kwa upinzani

    Kama una uchungu amka kuanzia sasa ukaandamane usingoje mpaka mbowe akwambie.kumbuka kutoka na familia yako nzima mkuu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Sawa lisu anajitahd kwa position yake ila kumfananisha na Mandela ni hovyo kabisaa.Tusiwe wanazi wa kupenda hadi kupitiliza jameni khaa.Kupenda Sana sometimes ni uchizi.
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na my X-girlfriend, anaolewa na mzungu, kutimkia Marekani..(nimeumia kiaina)

    Na wewe tafuta mzungu uende ukapata makaratasi ukapande underground trains
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 103 waondolewa Marekani

    Wacha chuki na wivu wa kipumbavu...watu wanastruggle na maisha.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono Serikali hadi tunatukanwa lakini sisi tukiwaeleza kodi iko juu na biashara haipo mtusikie

    Hata UK kuna kodi balaa kila kitu ni kodi kule tena zaidi ya bongo na huwezi kwepa dadeki..Sembuse hapa.Lipa kodi mkuu.
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Dah ile tamthilia ina wadada wakaree balaa halafu wana mizigo hakuna mfano doooh hatari Sana..
Back
Top Bottom