Recent content by IMMA1

  1. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Mngekua mnaweka mambo wazi mngeweza kuuza kwa haraka. Sijui wabongo tumerogwa na nani hutubadiliki kwa nini.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu na kauli zao

    Huwez kumsikiliza mzee nilichomeka nakuchomoa sana nashkur hadi leo haijakatikiamo.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu na kauli zao

    Duh nakumbuka Niliambiwa we rukaruka ma waschana wako hao "Itakatikiamo nakwambia"
  4. I

    JamiiForums Tanzania SOLD: Printer inauzwa

    Inaprint colour na black. Kumbe black sio colour.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Uingereza: Tanzania mambo huwa hivi

    Mwanza nyamanoro hapo.
  6. I

    JamiiForums Tanzania ATM MACHINE

    Uki Ukitaka kujua kuwa ukisemacho ni sahihi. Angalia myu anaulizwa unataka risiti ya muhamala huu na anakubali lakini kwa kuwa pesa inatoka kabla ya risiti anasahau kama aliiomba.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri, safari ya Dar-Mwanza: Basi gani ni zuri kupanda kwa sasa?

    Nimefika hm kutokea mza mda si mrefu. Kwa route hiyo darlux yuko vizuri.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nimempokonya Rushwa Traffic Katoka nduki Kunifukuza

    Usirudie tena iyo kitu kwa polisi wa njii hii.kuna siku utajua namaanisha nini.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaofurahia kuitwa "Bae"

    Kwa mfano maana halisi ya Demu.. Ni dekio.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mke wa jirani yangu anakuja kuangalia Tv kwangu kila siku, inanikera sana!

    Anataka na wewe uangalie tv yake huelewi nini??
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

    Hu Huwezi kumuacha Seleman Matola hapo.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem ya duka Mwanza mjini

    Kama kichwa kinavoeleza, Nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba, Rwagasore soko kuu nje upande wa Tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Bitcons ni nini ndugu nisaidie kidogo.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Parefu kidogo kwangu mkuu.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Maelezo mazur sana mkuu haya tupe bei.
Back
Top Bottom