Recent content by imalinyi

  1. imalinyi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Safar njema ww pamoja na Mke wako shetan awatangulie mbele yenu
  2. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Hivi ni kweli Chadema, Cuf,NCCR - MAGEUZI na NLD Hatuna watu wenye cv ya kugombea urais mpaka tusubiri upande wa pili.Hii kali Viongozi wetu mnatuangusha kwahiyo angepita ccm tungemchukua nani au ndo tungeacha kabisa kuweka mgombea urais
  3. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Lowassa azidi kujizatiti, Steven Masele atangaza kumuunga mkono

    Labda huo ukombozi wa ww na familia yako na si wawatanzania Pole sana jitu lenyewe jizi tu
  4. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Pinda kutangaza nia kesho live kupitia ITV

    Yote haya ni kwa sababu baada ya kuona Kikwete kaweza ikiwa ni dhaifu bac wajumbe wote wanajua wanaweza washampima kikwete wakaona wanaweza daa amakweli urais umekuwa ni uraisi kila mmoja anaweza kazi njema wazee wa Lumumba
  5. imalinyi

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanamvizia Lowassa atoswe CCM wamchukue

    Umenena Mkuu
  6. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Nilichokisema jana kuhusiana na kauli ya Lowassa

    Unayoyasema mheshimiwa ni sahihi lkn wenye ccm yao watakuchukia na kukuita ww ni mpinzani.Pole sana kwa kuwaelimisha watu ambao wameziba masikio kwa Pamba. Hapo Kigwangala unapigia mbuzi gitaa ccm wameziba masikio
  7. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu CHADEMA kutikisa nchi leo na kesho

    Imekaa vizuri hiyo Mungu awabariki viongozi wetu kwa kazi nzuri
  8. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Jua linapoelekea kuzama, Kinana utakumbukwa

    Hivi kinana yupo wapi na zile ngonjera za kubeba tofali, Kupalilia, Na maigizo mengine waliyokuwa wanayafanya maana hatumsikii au amesombwa na mafuriko ya Ukawa
  9. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

    Unauliza uchawi CCM
  10. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Majimbo yenye uhakika wa kuchukuliwa na UKAWA 2015...

    Njombe kusini
  11. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    ahsante makamanda Mungu awajalie kwa kazi nzur
  12. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Kwa mchungaji Gwajima kumuunga mkono Dr Slaa ni tatizo lkn wale Mashehe na wachungaji walioenda kwa Lowassa ni halali ila CCM mnakazi mwaka huu.
  13. imalinyi

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kutikisa Musoma mjini kesho

    Utapoteza mvuto ww Chadema itabaki na mvuto cku zote
  14. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    Kama ni kweli bac tz yote ni ya wachaga maanake nenda mikoa ya kusini chadema ndo inayotawaliwa na pipooz sa we kaa na ujinga wako kwamba m4c ni ya wachaga
  15. imalinyi

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    jamiiforums. ukiiona iprint
Back
Top Bottom