hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Ni kweli mkuutuhamie vijijini mjini wameshaelewa bana
Ni kweli mkuutuhamie vijijini mjini wameshaelewa bana
Bavicha(baraza la vichaa chadema) hamna sera
Bavicha imepoteza mvuto
Mlandege kesho update zote pamoja na picha zitakuwepo hewani pamoja sana.
Hiyo strategy naipenda sana mimi yaani mashambulizi kila konaSpecialist88 ndo ziara imeanza hivyo mkoa mzima wa Mara kijiji kwa kijiji nyumba kwa nyumbani.
Tokomeza CCM Musoma mjini inaendelea kesho ambapo team ya Bavicha Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Mwita pamoja na John Heche aliyekuwa Mwenyekiti BAVICHA aliyemaliza muda wake ambaye kwa sasa ni mtangaza nia ya ubunge jimbo la Tarime. Kesho kuanzia saa 7 mchana katika viwanja vya Nyasho Stendi jimbo LA Musoma mjini watafanya mkutano mkubwa Sana pia kufungua ofisi ya CHADEMA kata ya Nyasho.
Utapoteza mvuto ww Chadema itabaki na mvuto cku zoteBavicha imepoteza mvuto
HabariChademamara tunataka kuona matunda ya ziara zenu sio iwe ni ziara zisizo na tija kama za kina ana
Bavicha imepoteza mvuto
Nimekuwa nikisikia maneno maneno mengi kutoka kwa viongozi wangu wa zamani lakini nawaheshimu na sitoweza kuwajibu kwani siasa za chuki kwa sasa zimepitwa na wakati, ninachofanya ni kukijenga chama,alisema Zitto.
Hahahahah Hakuna mtu mnafiki km huyo jamaa. Ooooh Mimi sitaki pesa ya walalahoi. Ooooooh kuna wabunge 50 watahamia kutoka Upinzani na CCM, Na hawa ndio wanatuchangia Act , Yeye ni Mzalendo kwann asiwataje?. Yeye amekataa hizo pesa na anajenga Uzalendo Je hao wabunge ambao watahamia wenyewe sio wazalendo?. Au Uzalendo unaanzia ukingia Act?
. Na kwann awakaribishe watu ambao watakomba pesa za walalahoi siku ya Mwisho ambazo yeye hazitaki?. Kwann saiz anakubali kupokea pesa za watu ambao sio wazalendo?.