Recent content by Ilokuza Jr

  1. I

    Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Huyu kuna kitu anakitafuta. Mbona Yule wa mwaka jana kila teuz zake zilijaa akina Mohammed lakin hatukujali? Wao kuona jpm anatupa shavu sasa wanaona nongwa. Halaf hii sumu ambayo huyu shekhe anaipanda atakutana nayo kama si hapahapa dunian bas moton.
  2. I

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu ataka kampeni kutokomeza tezi dume

    Tezi dume is simply Prostate gland but the disease of it , medically is termed as benign prostatic hypertrophy/enlargement ( BPH).Kila mwanaume mwenye prostate gland n good candidate of it. Mara nyingi huwapata wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 Na kuendelea. Na inatokana na mabadiliko ya...
  3. I

    Madhara kwa mtoto kwa mama aliyetumia vidonge vya majira

    Absolutely big No . Hii n kwa sababu vidonge vimetengenezwa kwa hormones ambazo huzuia utengenezwaji wa yai la mama na hormone hizo zinafanana na hormone asilia za mwanamke. Kwa maelezo zaid waweza kuja PM.OK
  4. I

    Hawa vijana wanasoma kweli au wanamambo yao?

    Hapo shule inatambaa smoothly... Morale muhim saana
  5. I

    Iundwe Tume ya kutuleta pamoja kama Taifa

    Tume ya nn? Una evidence gan kuwa taifa limegawanyika? Come with solid evidence .. Lakin ujue kitaa maisha yanaendelea japo yamebana. Apa niko Na wanaukawa pmoja Na uvccm but we share each & everything....so no need of tume . Otherwise itakuwa n kuwapa shavu wanasiasa tuu
  6. I

    Uzi wa kuchapia

    Mke wangu ana tumbo la miez minne ( mke Wang ana mimba ya miez minne)
  7. I

    Natafuta jogging partner

    Mbona ruti Dogo sana hilo? Mm nakimbia toka masaki via moroko mpaka magomen then napita muhimbili salendaer to coco beach kisha narud kumaliza Na fitness za kawaida....hii n daily routine kila ifikapo saa kum Na moja jionii
  8. I

    Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    Dj n dikteta Na ana akili kma Lipumba.Ni aina ya watu ambao wanahisi bila wao upinzani hauwez kushamiri. Hawa ndio wanaofanya siasa yetu ionekane ya kilofa .. Baada ya Lipumba natoa wito kwa DJ nae ajitafakariii kama bado anastahili kuongoza juhudi za kuleta mabadiliko ya kweli Na syo mabadiliko...
  9. I

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Kwa hali na aina ya vyama vya upinzani kama CUF hii bora CCM wazidi kuongoza. Vyama ambavyo vinaamini katka mtu badala ya system, hii n aibu kubwa saana... Anyway kma kweli wanachama ndio wanaomtaka Lipumba bas apewe chama chake ama laa basi awaachie wenye chama maisha na harakati ziendelee
  10. I

    Mgombea wa upinzani Zambia Hakainde Hichilema anaongoza

    Hili n fundisho kubwa sana kwa upinzani wa Tanzania. Wenzetu hawana tabia ya kubadili gia angani upinzani wetu unaamini katika kubadili gia angani. Mambo tunayofanyiwa na serikali ya ccm n matokeo ya upinzani dhaifu , unaoongozwa na viongozi dhaifu wenye maono dhaifu. Natamani kuona vijana...
  11. I

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Wewe ndo mnyama mwenye IQ ndogo coz umeshindwa kucompare vitu vidogo saana
  12. I

    Kigwangalla aagiza hospitali nchini kuzuia Kamera na simu zenye kupiga picha wodini

    Kuna taratib za kufuata unapoona tatizo mahali Na si kupiga picha na kuzisambaza mtandaoni... Na sina iman kma wanaofanya hivyo wanapost picha za ndugu zao. Unakuta mtu kaenda wodin kumjulia hali ndgu yake lakin anapiga picha MTU mwingine. Hiyo tabia n mbaya saana. Mi napendekeza iyo NGO...
  13. I

    Kigwangalla aagiza hospitali nchini kuzuia Kamera na simu zenye kupiga picha wodini

    Kama kuna professionals ambazo ethics kwao n mama mkwe bas n waandishi wa habari. Ninyi mnajali kuuza habar zenu lakin hamjali privacy ya watu. Na moja kati ya principles za Dr n Confidentiality. So kumantain confidentiality ya wagonjwa Na drs kwa ujumla bas kuna haja ya kubun mbinu ya kuzuia...
  14. I

    Yah: Kuomba mwaliko kuonana nawe rais John Pombe Magufuli upatapo barua hii

    Ni kweli kabisa. Kuna tetesi za Rais kukutana na Marais wa vyuo vikuu natamani niwepo nitoe yangu ya Moyoni. Na ningeshaur aweke utaratibu wa kusikiliza kero za vijana hata wale wenzangu ambao hawakubahatika kupata elimu ya kizungu . Kwa sababu Tanzania n yetu sote na maendeleo n yetu wote...
Back
Top Bottom