Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

choga mkuu

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
283
110
Ifikie kipindi tuelewe kuwa Elimu hii tunayoipata hapa nchi inapaswa kufumuliwa ili kuruhusu vitu halisi vinavyoendana na mazingira na wakati kuingizwa...... Leo PROF LIPUMBA analilia uenyekit Wa chama ,tena chama chenyewe ni cha upinzani ,na upinzani wenyewe ulivyo mugumu ktk nchi zinazoendelea kama Tanzania ni aibu kubwa.... Hiii inaonesha kuwa elimu tunayoipata inatengeneza watu wasioweza kujiajili maana hawana ujuzi stahiki .... Na hiii imethibitishwa na Lipumba Haruna Mwenyewe ambaye ni Msomi mkubwa Wa uchumi Duniani..sio Tanzania, ni duniani..... Elimu yetu imatengeneza WATAFTA AJIRA na si WATENGENEZA AJIRA... Kuna wakuu Wa mikoa walisikika wakituambia tujiajiri Mara tumalizapo masomo lakini wao walipofukuzwa kazi wakaanza kulia kwamba hawana pa kujishikiza... Dr Lutengwe aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Morogoro yeye alilia kabsa baada ya kufukuzwa kazi...... Naiomba serikali ifanyie marekebisho elimu yetu ,tuache kukalilisha kanuni za Archimedes za miaka 500 iliyopita, tusome yanayotuhusu.... Watumishi waserikali nao ni waoga mwisho hawataki kusema maana wanaogopa kutumbuliwa bila uoga,,,, karibun kwa mawazo
 
Dj wew unamuweka kundi gani maana kwa wamekuwa wenyevit wa kudumu ,maana na yeye ni untouchable, ukigusa tu hiyo nafasi , utaitwa kila aina ya maneno mabaya , sijui unakiharibu chama, wew ni pandikizi
 
Ila angelilia Uenyekiti wa chama tawala CCM ingekuwa sawa?
Hoja yako haina mashiko kabisa
Kiuhalisi ni kweli inabidi tuchunguze elimu ya wasomi wetu lkn sio kwa sababu ulizo taja!Lipumba aliondoka CUF ikiwa inakabiliwa na uchaguzi mkuu,akaifanya CUF iyumbe sana sasa anarudi kufanya nn?

Pili chini ya yake CUF haikuwahi kuongeza majimbo mengi uchaguzi kama sasa pindi tu alipo ondoka!CUF imeongeza Majimbo 6 mapya Tanzania bara, 5 mapya Unguja na yote 18 Pemba imeyatetea!Kwa perfomance hii haitajiki CUF

Aendelee tu kuvuta mpunga wa CCM ili kuua upinzani!
 
Ila angelilia Uenyekiti wa chama tawala CCM ingekuwa sawa?
Hoja yako haina mashiko kabisa
Kiuhalisi ni kweli inabidi tuchunguze elimu ya wasomi wetu lkn sio kwa sababu ulizo taja!Lipumba aliondoka CUF ikiwa inakabiliwa na uchaguzi mkuu,akaifanya CUF iyumbe sana sasa anarudi kufanya nn?

Pili chini ya miaka yake CUF haikuwa kuongeza majimbo mengi ya uchaguzi kama sasa alipo ondoka!CUF imeongeza Majimbo 6 mapya Tanzania bara, 5 mapya Unguja na yote 18 Pemba imeyatetea!Kwa perfomance hii haitajiki CUF
Huo ni mfano mmoja wapo,mupigiwa kelele suala LA ubora Wa elimu limeanza muda mrefu ... Hapa nimeonsdha uhalisia Wa kile kinachozungumzwa kwa kutumia MTU mwenye elimu ya juu sana lakin anashindwa kutumia elimu yake Ku create opportunities badala yake ana seek opportunities....
 
Dj wew unamuweka kundi gani maana kwa wamekuwa wenyevit wa kudumu ,maana na yeye ni untouchable, ukigusa tu hiyo nafasi , utaitwa kila aina ya maneno mabaya , sijui unakiharibu chama, wew ni pandikizi
Dj n dikteta Na ana akili kma Lipumba.Ni aina ya watu ambao wanahisi bila wao upinzani hauwez kushamiri. Hawa ndio wanaofanya siasa yetu ionekane ya kilofa .. Baada ya Lipumba natoa wito kwa DJ nae ajitafakariii kama bado anastahili kuongoza juhudi za kuleta mabadiliko ya kweli Na syo mabadiliko ya kuzungusha mikono
 
Dj wew unamuweka kundi gani maana kwa wamekuwa wenyevit wa kudumu ,maana na yeye ni untouchable, ukigusa tu hiyo nafasi , utaitwa kila aina ya maneno mabaya , sijui unakiharibu chama, wew ni pandikizi
DJ ndo nan ,? Brother Nape? Kibajaji?José Msukuma? Au Gudluck mulinga? Ma dj wapo weng ... Ni yup kati ya hao?
 
Huo ni mfano mmoja wapo,mupigiwa kelele suala LA ubora Wa elimu limeanza muda mrefu ... Hapa nimeonsdha uhalisia Wa kile kinachozungumzwa kwa kutumia MTU mwenye elimu ya juu sana lakin anashindwa kutumia elimu yake Ku create opportunities badala yake ana seek opportunities....
Upo sahihi wasomi wetu ni WAPUUZI sana
Ona sasa mtu kama Kitila Mkumbo amekuwa kama rubber stamp ya Magufuli
Kila serikali ikisema kwa sasa lzm a support
Nwapongeza sana wana Korogwe kwa kumchagua Prof wa elimu giza badala ya msoni Dr Mndolwa
Wala sasa huwezi jua ipi ni afadhali kati ya hoja ya Prof Mkumbo na babu yangu darasa la nne la zamani!
 
Dj wew unamuweka kundi gani maana kwa wamekuwa wenyevit wa kudumu ,maana na yeye ni untouchable, ukigusa tu hiyo nafasi , utaitwa kila aina ya maneno mabaya , sijui unakiharibu chama, wew ni pandikizi

Labda nikuulize lini ccm walifanya mkutano wa kumchagua mwenyekiti?, ninachojua ccm huwa na mkutano wa kumtibitisha mteuliwa
 
Dj wew unamuweka kundi gani maana kwa wamekuwa wenyevit wa kudumu ,maana na yeye ni untouchable, ukigusa tu hiyo nafasi , utaitwa kila aina ya maneno mabaya , sijui unakiharibu chama, wew ni pandikizi

Halafu dj elimu yake ndogo lakini kaajiri watu kwenye biashara zake sasa iweje profesa azidiwe akili na kilaza dj?, ndipo tunaposema mfumo wa elimu unamashaka
 
bora ccm kuna sura mpya Kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa , kikwete na sasa MAGUFULI, hatakama nikuthibitisha ndo utaratibu wao waliojiwekea
 
Sidhan kama Prof anatafta ajira kwan na uhakika anaweza ipata nchi yoyote kwa usomi wakeNadhan anatafuta umaarufu na ile hali ya kubeshimiwa
 
Upo sahihi wasomi wetu ni WAPUUZI sana
Ona sasa mtu kama Kitila Mkumbo amekuwa kama rubber stamp ya Magufuli
Sio wote.
Semeni Lipumba ndiye mpuuzi!
Haiiingii akilini mtu atangaze kuachia ngazi baada ya kununuliwa halifu pesa alizopewa baaada ya kuisha anarudi na kusema natengua kauli ya kuachia ngazi.
This is non-sense!!!
 
bora ccm kuna sura mpya Kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa , kikwete na sasa MAGUFULI, hatakama nikuthibitisha ndo utaratibu wao waliojiwekea

Nipe kifungu cha katiba ya ccm inachosema hapo juu kuwa mwenyekiti atateuliwa na mkutano mkuu utamthibitisha tu
 
DJ si ameishia form 6....

Dj form six lakini kaajiri watu chakushangaza profesa mzima anashindwaje kutumia akili yake kujiajiri na kuajiri wengine?, kwa elimu ya lipumba ilitakiwa awe na uwezo wa kumuajiri hata dj lakini kwa sasa naona dj anaweza kumwajiri lipumba
 
Ifikie kipindi tuelewe kuwa Elimu hii tunayoipata hapa nchi inapaswa kufumuliwa ili kuruhusu vitu halisi vinavyoendana na mazingira na wakati kuingizwa...... Leo PROF LIPUMBA analilia uenyekit Wa chama ,tena chama chenyewe ni cha upinzani ,na upinzani wenyewe ulivyo mugumu ktk nchi zinazoendelea kama Tanzania ni aibu kubwa.... Hiii inaonesha kuwa elimu tunayoipata inatengeneza watu wasioweza kujiajili maana hawana ujuzi stahiki .... Na hiii imethibitishwa na Lipumba Haruna Mwenyewe ambaye ni Msomi mkubwa Wa uchumi Duniani..sio Tanzania, ni duniani..... Elimu yetu imatengeneza WATAFTA AJIRA na si WATENGENEZA AJIRA... Kuna wakuu Wa mikoa walisikika wakituambia tujiajiri Mara tumalizapo masomo lakini wao walipofukuzwa kazi wakaanza kulia kwamba hawana pa kujishikiza... Dr Lutengwe aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Morogoro yeye alilia kabsa baada ya kufukuzwa kazi...... Naiomba serikali ifanyie marekebisho elimu yetu ,tuache kukalilisha kanuni za Archimedes za miaka 500 iliyopita, tusome yanayotuhusu.... Watumishi waserikali nao ni waoga mwisho hawataki kusema maana wanaogopa kutumbuliwa bila uoga,,,, karibun kwa mawazo
mbowe inamhusu hii pia

huwezi kuwa chair kwa miaka 15
 
Back
Top Bottom