Recent content by ilmJ

  1. I

    Natafuta Mke

    Natafuta mke/mchumba; 1. Awe na miaka 30-40 2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea. 3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake. 4. Awe na hofu ya Mungu. 5.Awe Mkristo Mimi; 1. Nina Diploma ya Ualimu 2. Ninakazi yangu ambayo inanifanya niwe na uwezo wa kuihudumia familia...
  2. I

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Habari,naomba mchanganuo wa English Skills(Listening,speaking,writing and reading)
  3. I

    Unapodaiwa au kumdai mtu uchukue hatua gani!!?

    Kaka na mimi nina tatizo kama lako ndugu
  4. I

    Nahitaji kujiendeleza kielimu

    Habari wana JF, Nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    Msaada wa Ku unlock iphone 6s plus

    Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
  6. I

    Natafuta Mchumba

    Natafuta Mchumba ili baadae aje kuwa Mke wangu Awe na miaka kuanzia 25-30 kama yupo ani PM
  7. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Inshaallah
  8. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Cover yake ndo imepasuka
  9. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Umeonaee
  10. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Chukua namba tuwasiliane
  11. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Ipo Same
  12. I

    Toyoya Corolla X inauzwa 5m

    Nauza gari aina ya Corolla X #B,ipo katika hali nzuri,cover ya taa moja ya nyuma imepasuka Engine type VVT-I Eng size. 1496 Milage. 137300km Ful AC Haidaiwi Whatsapp/Call: 0652953807
  13. I

    Natafuta tairi used

    Natafuta tairi used 4 namba 195/60 R15,ziwe katka hali nzuri Whatsapp 0652953807
  14. I

    Habari zenu wana JF, kiufupi natafuta gari kati ya hizi

    Njoo nikupe Toyota Corolla X,#B.Ila ina marekebisho ya bush na taa 1 ya nyuma
  15. I

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari GTs,Je, naweza kujua mtu anamiliki gari aina gani kwa kutumia TIN No tu?Na kama ndio,naomba msaada plz kwa namba hii, 105-680-732,Asanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom